Eti wanaogopa kuuliwa watakapo pata maliA to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
Marhabaa! Mpwa.Namba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.
Kwa sababu mda wao mwingi hawawazi mapenzi kama makabila wengine[emoji23][emoji23][emoji23]Km ww ni me,ukioa huko jiandae kuwa na michepuko nje mana hawawezi mtosheleza mwanaume kunako 6X6..
Hawana makalio kabisa nyuma kama ubao au pasi ila wachache wao wengine unakuta wamefungasha kama wanataka kuhama vile[emoji23][emoji23][emoji23]Wana makalio makubwa
Asante mkuu na karibu tena Moshi! It's a big blessing to host people who appreciate others! They call the place Kilimanjaro, I call it home! big up!Moshi ni miongoni mwa miji maarufu sana wa kitalii Tanzania na Duniani kote uliopo Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Umaarufu wa Mji huu unatokana na kuingia kwa wageni kutokana na Mlima Kilimanjaro. Mji huu una kabila maarufu sana liitwalo Wachaga. Kuna Wamachame, Wakibosho na Wamarangu. Warombo nao hawajambo!
Pamoja na kwamba mm natoka Mkoa wa Bara, yafuatayo ni mambo muhimu ya kujifunza toka kwa Wachaga:-
1. Wana uzalendo mkubwa sana na Mkoa wao.
2. Wanapenda kusaidiana sana wao kwa wao. Ukioa kwao umeula.
3. Wanawake wanafanya biashara sana kuliko wanaume. Wanawake wanatembeza vitu mtaani (Machinga) kuliko wanaume.
4. Wachaga wana wivu sana wa kimaendeleo. Muda wote wao huwaza kuwa zaidi na zaidi.
5. Wachaga si wepesi wa kukata tamaa. Hata apate hasara vipi,atang'ang'ana kama kupe mpaka atatoboa.
6. Wachaga wana nidhamu sana na pesa.Siyo wepesi wa kufuja hela. Wazuri wa kutunza na kulundika hela.
7. Mchaga hakatai pesa,hata kama kidogo anachukua.Nyingine utamalizia baadae
8. Wachaga wanapenda sana kilimo cha umwagiliaji,hasa ndizi kahawa migomba na mbogamboga za majani. Na wanapenda sana kufuga nguruwe.
9. Wachaga si wepesi wa kudhulumu mtu,mpk mtofautiane sana. Ni watu ambao mkishakubaliana terms mmeshamaliza,na hata akila,hali chote.
10. Ukioa mchaga umewin. Mwanamke kila dakika anawaza pesa na ni wazuri wa kusimamia miradi.
11. Wachaga wanakula sana pombe ila kwa malengo na ni weekend
12. Wachaga wanapenda majidai sana na wana fujofujo za kujisikia (hawawafikii Wahaya)
13. Kwa mchaga hela itapatikana tu,kwa namna yoyote ile
Aikambe
Aikasa
Aikama
[emoji23][emoji23][emoji23]naam hata tukikutana huku mikoani tunakuwa kama watoto wa baba mmoja
Ok now tumemuachia ngosha awabebe ili tuone kama mtaifikia Moshi..Hata hivyo mlibebwa sana tangu mwalimu hadi kikwete. Karibu utawala wore hamjawahi kukosa Waziri mkuu. Mmetake hiyo advantage ya fursa kumiliki uchumi na kujifanya wajanja. Sasa hivi mnasema mnaonewa?? Makabila mengine mbona walikuwa hawalalamiki?
eh eh jiwe gizani...sasa kama mamake alijiua kisa dadake katembea na babake nifanyaje......You are totally weak, yani huyo dadangu ni lazima angekukata kichwa. Mwanaume wa ovyo ovyo hawezi oa mchaga hata siku moja..
Yaani wewe unaishi kulingana na opinions of others? Maisha yako yanaendeshwa kwa story za vijiweni!! Yaani hao wadau ndio wanakupangia wa kumuoa? Na ulivyo mjinga mpaka unapoishi ukakimbia kisa tu hearsay za wadau..
Rubbish!!
Nimeshangaa....dhulumati wakubwa ni nani hapa duniani?
Afuu bahili kinoma, na hawapendani wala! Mi ni mchaga
hawataweza hata kidgo wao n kuchunga mbuzOk now tumemuachia ngosha awabebe ili tuone kama mtaifikia Moshi..
mademu wa kichaga hawawez tembea na chokoraa kama wwnilikimbiaga bomang"ombe baada ya kupata dem mkaali wa kimachame af wadau wakanisanula kuhusu hao jamaa ah ah
mkuu achana na hawa wacheza sindimba hawataweza kukuelewaWachagga wanapendana na wanasaidiana sana, Mchagga mmoja akifanikiwa lazima awabebe Wachagga wengine.
yaap pombe ya kiasili ambayo inanyweka karibu sehemu zote tzMbege mbege mbege
bonge LA historyMkuu baba yake Mbowe ndiye aliteam na Nyerere kuwaingiza Wachaga kwenye huko kudai uhuru. Baba yake Mbowe alikuwa na ushawishi mkubwa kwa wamachame.
Kilichotokea ni kwamba baada ya Mangi Shangali wa Machame kuukosa u Paramount Chief, yaani Mangi Mkuu wa Uchagga na Mangi Marealle wa Marangu ndiye aliyeshinda, elites clan za Machame hazikukubaliana na kutawaliwa na wamarangu hasahasa Marealle ambaye pia walikuwa wakatoliki na wamachame ni walutheri. Hapo ndipo elites clan za Machame zikaamua kuungana na Mwl Nyerere wakati tayari chief Marealle alishaenda nae kudai uhuru kwa Malkia.
nimemwambia dada zetu hawawz tembea na watu wanaonuka kwapa kama yyYou are totally weak, yani huyo dadangu ni lazima angekukata kichwa. Mwanaume wa ovyo ovyo hawezi oa mchaga hata siku moja..
Yaani wewe unaishi kulingana na opinions of others? Maisha yako yanaendeshwa kwa story za vijiweni!! Yaani hao wadau ndio wanakupangia wa kumuoa? Na ulivyo mjinga mpaka unapoishi ukakimbia kisa tu hearsay za wadau..
Rubbish!!
yaapNamba 13 ndio kauli mbiu.pesa itapatikana tu,itake isitake
naamNamba 13 ndio kauli mbiu.pesa itapatikana tu,itake isitake
alaahUkijumlisha na haya yangu kweny hii picha