MwaFricamweuSiTii
Senior Member
- Feb 20, 2018
- 125
- 121
Yaan hapo ndo wanapokuw wabayasubili utajirike akunyongelee mbali
Ngoma droo pia vijana wa kiume tok mby wanapend madem wa kichagA to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
the same as meProud2BeChagga but maendeleo sasa
HAHAHA..Sure.Ngoma droo pia vijana wa kiume tok mby wanapend madem wa kichag
endelea kucheza sindimba hapo mtwara baada ya kuuza korosho
unaongeza mke wa pili huku unalala nyumba ya nyasi hongera kwa kujitambua
meno ya dhahabu hayaAngalia mpuuzi huyu...nimekuambia ninajitambua. Anaye jiambua analala kwenye nyumba ya nyasi? Kanywe mbege kule na mimeno yako ya kuoza.
naam n kweli kbs mji wa moshi 99% investors n wenyeji achilia mbali mij kama mwanza,arusha ambako nako wachaga wame invest sana hasa mahotelHili kabila la wachaga ni nouma,ukienda pale Moshi mjini idadi kubwa ya maduka ni ya Wachaga wenyewe. Watu wenye asili ya kihindi,kichina au kiarabu ni wachache sana pengine utakuta Singasinga ambao wengi wao hufanya kazi za ujenzi na engineering na wamekubali kushirikiana na wenyeji.
Lakini utakuta katika miji mingine wahindi,wachina na waarabu wamejaa kiasi kwamba wanawadharau wenyeji wanapoona wanaacha kufanya biashara na wazawa wenzao na kuwatajirisha wageni.
Siamini kama ukienda pale China au India ukapanga nyanya zako sokoni kama kuna mtu atakuja kununua.
UZALENDO NA UZAWA KWANZA,BILA KUFANYA HIVYO TUSITEGEMEE KUTOKA NG'O!
Get rich by any means necessary… vingine matokeo tu.. Kama Warren Buffet anavyosema… “Rule No. 1: Never lose money. Rule No. 2: Never forget rule No.1”…Naona unajiachia tu .....
Uwizi haujawahi kuwa mbinu ya kimaendeleo
ni laana tupu
waambie nduguzo wajibidiishe kutafuta vya halali
Tujifunze kutoka kwao Kuthubutu / Kujituma pasipo kukata tamaa/ Kupendana/ Roho ya utoaji (kutoa sadaka kwa muumba wetu) Tunajifunza pia kutoka kwao kuepuka uchoyo,majungu, fitina na figisufigisu. Tafuta rafiki wa kichaga utapiga hatua ya maendeleo.Hakuna asiyefahamu kuwa kuna Kabila Moja Nchini Tanzania ambalo linajulikana sana kwa mihangaiko ya maisha maana karibu kila sehemu unapokwenda hata vijijini lazima utasikia kwa MANGI kama si kwa jina hilo basi utakuta wanatumia jina jingine kama yanavyojulikana majina ya Kichaga, Mushi,Kessy,Assey,Marando,Tarimo nk.
Lakini hili Kabila inipofika mwezi wa 12 kama sasa huanza mihangaiko ya kwenda kwao kwaajili ya kusherekea sikukuu ya X-Mass. Je tujifunze nini kutoka kwa kwa Kabila hili? Maana kuna baadhi ya watu husema kuwa wengi wa Wachaga huenda kwaajili ya kufanya matambiko Mbalimbali je ni kweli?
ukweli mtupuSifa yetu nyingine ni mwiko kuuza ardhi, ata upate shida vp huwezi kumsikia mchaga wa pale rombo eti anauza ardhi yake, ni uridhi toka kwa mababu, ila tukija hko mikoani kwenu tunawavua ardhi kuuuuuuubwa ata hekar 5 kwa 1m.tunatumia system ya go and expand. [emoji16]
ameen barikiwa kwa kusema ukweliTujifunze kutoka kwao Kuthubutu / Kujituma pasipo kukata tamaa/ Kupendana/ Roho ya utoaji (kutoa sadaka kwa muumba wetu) Tunajifunza pia kutoka kwao kuepuka uchoyo,majungu, fitina na figisufigisu. Tafuta rafiki wa kichaga utapiga hatua ya maendeleo.
umeonaeePia tuna sifa ya kuwa tunashirikishana fursa, aiseeeeee lasway njooo huku kuna fremu nzr sana na biashara ipo mno,,, mwambie na chuwa aje aangalie, [emoji3]
umeonaeePia tuna sifa ya kuwa tunashirikishana fursa, aiseeeeee lasway njooo huku kuna fremu nzr sana na biashara ipo mno,,, mwambie na chuwa aje aangalie, [emoji3]