MwaFricamweuSiTii
Senior Member
- Feb 20, 2018
- 125
- 121
Wachagga ndio wa kwanza kuchapisha jarida lililosomwa miaka ya 50 na kitu na pia walikuwa ni wasomi wazuri kumbuka ni wakwanza kuwa na kamusi yao pia ; babu yangu alikuwa navyo aligonga miaka mia na 32 alikuwa ni mchili kama mnawajua watu hawa historia yao ...