Optimistic Soul
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 204
- 22
mchezo mchafu sana pale unachezekaga, ticket zinanunuliwa na mtu mmoja kwa bei ya kawaida then yeye anaanza kuuza kwa bei yake anayoitaka, mie wananiudhi kweli, ukienda oficin gari imeaja, kwenye gari ticket zinauzwa!!!!
Sasa lizzy, who is that behind you? au ni yule msela wa ungalolo ukiwa kama unaenda Engosengyu
mchezo mchafu sana pale unachezekaga, ticket zinanunuliwa na mtu mmoja kwa bei ya kawaida then yeye anaanza kuuza kwa bei yake anayoitaka, mie wananiudhi kweli, ukienda oficin gari imeaja, kwenye gari ticket zinauzwa!!!!
Hakuna asiyefahamu kuwa kuna Kabila Moja Nchini Tanzania ambalo linajulikana sana kwa mihangaiko ya maisha maana karibu kila sehemu unapokwenda hata vijijini lazima utasikia kwa MANGI kama si kwa jina hilo basi utakuta wanatumia jina jingine kama yanavyojulikana majina ya Kichaga, Mushi,Kessy,Assey,Marando,Tarimo nk.
Lakini hili Kabila inipofika mwezi wa 12 kama sasa huanza mihangaiko ya kwenda kwao kwaajili ya kusherekea sikukuu ya X-Mass. Je tujifunze nini kutoka kwa kwa Kabila hili? Maana kuna baadhi ya watu husema kuwa wengi wa Wachaga huenda kwaajili ya kufanya matambiko Mbalimbali je ni kweli?
Sasa hapo tatizo liko wapi?Mafanikio yako ya kila aina na hilo la kua na maduka kila mahali ni moja wapo!Kama kwako sio kwa mwenzio ndio!kwahiyo wewe kufungua maduka huku na kule ndo umeona mafanikio??yaani wewe mafanikio kwako ni duka tuu, kwamba umesikia maduka ya mangi kila mahali basi ndo umeona mafanikiooo??crap!!
nimeipenda mada. isee nimefurahi kuona watu wanawakubali wachaga mimi nimchaga n m proud kuwa mchaga.. siogopi thats y unona jina langu ni meku. yaani mzee.. sasa basi inabidi makabila mengine wajifunze kuwa na umoja mshikamano na upendo, wachaga wanaupendo wa dhati kati yao. vitabu vinasema ukishindwa kumpenda alie karibu na wewe unawezaje kumpenda laie mbali na wewe. sasa anza na nafsi yao. pili jamaa zako wakaribu. mi nadhani kila kabila lingekuwa na utamaduni kama wa wachaga hii nchi ingekuwa mbali sana wachaga ni wao wajasiri by nature. wapo tayari ku take risk. na hii ndo ishara nzuri kwa mjasilia mali yeyote yule. more risk more return... tujifunze mengi kutoka kwa wachaga si kweli wachaga huenda kuhesabiwa ila huenda kupanga mikakati ya kujikwamua na kusaidiana kujikwambua kwenye mitihani. hukutana na kujadili jinsi mwaka ulio isha na chalenge zako na ni jinsi gani watajipanga kwa pamoja.. hupeana ramani za biashara na maisha mijini. hii ni desturi nzuri sana imewasaidia sana . hata wazungu hufanya assesment kila baada ya mwaka kutambua ni nini wamekifanya kwa mwaka mzima
Karibuni kwetu. na mjapo kipindi hiki msiteme mate hadharani, usitupe karatasi au kichungi cha sigara. Ukionekanika faini ni shs 50,000. Tunataka kuongeza kiwango cha usafi zaidi maana tunaona usafi huu hautoshi. Jihadharini na muwe makini.
Ni fikra tu; wachaga wangepewa kuongoza nchi pengine ingekuwa mbali sana kwa kuwa sehemu kubwa ya maendeleo yan nchi wamiliki ni hawa jamaa wa kichaga. Anyhow Nyerere kama kweli aliwabania basi alikuwa ni mbaguzi kuliko kaburu. Au siyo.