jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
umeongea ukweli 100% ni watu wenye bidii ya maendeleo sana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyosema unatoka mkoa wa bara kwani moshi ni mkoa wa peanut?Moshi ni miongoni mwa miji maarufu sana wa kitalii Tanzania na Duniani kote uliopo Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Umaarufu wa Mji huu unatokana na kuingia kwa wageni kutokana na Mlima Kilimanjaro. Mji huu una kabila maarufu sana liitwalo Wachaga. Kuna Wamachame, Wakibosho na Wamarangu. Warombo nao hawajambo!
Pamoja na kwamba mm natoka Mkoa wa Bara, yafuatayo ni mambo muhimu ya kujifunza toka kwa Wachaga:-
1. Wana uzalendo mkubwa sana na Mkoa wao.
2. Wanapenda kusaidiana sana wao kwa wao. Ukioa kwao umeula.
3. Wanawake wanafanya biashara sana kuliko wanaume. Wanawake wanatembeza vitu mtaani (Machinga) kuliko wanaume.
4. Wachaga wana wivu sana wa kimaendeleo. Muda wote wao huwaza kuwa zaidi na zaidi.
5. Wachaga si wepesi wa kukata tamaa. Hata apate hasara vipi,atang'ang'ana kama kupe mpaka atatoboa.
6. Wachaga wana nidhamu sana na pesa.Siyo wepesi wa kufuja hela. Wazuri wa kutunza na kulundika hela.
7. Mchaga hakatai pesa,hata kama kidogo anachukua.Nyingine utamalizia baadae
8. Wachaga wanapenda sana kilimo cha umwagiliaji,hasa ndizi kahawa migomba na mbogamboga za majani. Na wanapenda sana kufuga nguruwe.
9. Wachaga si wepesi wa kudhulumu mtu,mpk mtofautiane sana. Ni watu ambao mkishakubaliana terms mmeshamaliza,na hata akila,hali chote.
10. Ukioa mchaga umewin. Mwanamke kila dakika anawaza pesa na ni wazuri wa kusimamia miradi.
11. Wachaga wanakula sana pombe ila kwa malengo na ni weekend
12. Wachaga wanapenda majidai sana na wana fujofujo za kujisikia (hawawafikii Wahaya)
13. Kwa mchaga hela itapatikana tu,kwa namna yoyote ile
Aikambe
Aikasa
Aikama
Hiyo nayo ni elimuI asee..!!Ulivyosema unatoka mkoa wa bara kwani moshi ni mkoa wa peanut?
subili utajirike akunyongelee mbaliMtamu sana
Pia nasikia nafasi nyingi za madaraka,wameondolewawanaonewa wivu na viongozi wa nanii lakini bado wanasoma na maendeleo
Umeona ehhAsilimia kubwa ya wanawake wanaoolewa siku hizi ni wachaga.
Si kweliPia nasikia nafasi nyingi za madaraka,wameondolewa
Moshi ni miongoni mwa miji maarufu sana wa kitalii Tanzania na Duniani kote uliopo Mkoani Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Umaarufu wa Mji huu unatokana na kuingia kwa wageni kutokana na Mlima Kilimanjaro. Mji huu una kabila maarufu sana liitwalo Wachaga. Kuna Wamachame, Wakibosho na Wamarangu. Warombo nao hawajambo!