Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Hapo Namba Tisa si kweli niwatu wa dhuluma hata kuua ikibidi angalia kuna kesi maarufu inaendelea hakosikani mchaga humo. Kuhusu kusaidia si kweli labda msiba
 
Ukweli mtupu nmekaa hapo miaka mitatu.Nikag'oa mchaga na ndio master plan wangu kwenye project zangu.
Na kaka yake nipo hapa kwema shemeji? Ila hiyo avator ya son dad yake hapendi kabisa kutusikia.
 
A to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
HAWANA UKABILA
 
Wana makalio makubwa
 
Back
Top Bottom