kimyama nje
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 361
- 408
Hapo Namba Tisa si kweli niwatu wa dhuluma hata kuua ikibidi angalia kuna kesi maarufu inaendelea hakosikani mchaga humo. Kuhusu kusaidia si kweli labda msiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..naona mleta mada hiyo kaisahau kuiweka kwenye listsubili utajirike akunyongelee mbali
Na kaka yake nipo hapa kwema shemeji? Ila hiyo avator ya son dad yake hapendi kabisa kutusikia.Ukweli mtupu nmekaa hapo miaka mitatu.Nikag'oa mchaga na ndio master plan wangu kwenye project zangu.
Asante kwa taarifa sahihi.Si kweli
Nimeshangaa....dhulumati wakubwa ni nani hapa duniani?Hapo Namba Tisa si kweli niwatu wa dhuluma hata kuua ikibidi angalia kuna kesi maarufu inaendelea hakosikani mchaga humo. Kuhusu kusaidia si kweli labda msiba
HAWANA UKABILAA to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
Get rich by any means necessary…Umesahau ni wezi na wapiga deal pia
I agree, nilitaka tu aiongezee kwenye list. Maana matajili wengi wa kichaga wana historia hyo. Mfano A.M, sijui walimpata?Get rich by any means necessary…
A. M bado yuko sauzi anakula batazzI agree, nilitaka tu aiongezee kwenye list. Maana matajili wengi wa kichaga wana historia hyo. Mfano A.M, sijui walimpata?
A to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
asante kwa ushuhuda,wakina rutashobya wakiona hii wanajawa asira sanaUkweli mtupu nmekaa hapo miaka mitatu.Nikag'oa mchaga na ndio master plan wangu kwenye project zangu.
ingekuwa n hivyo si dunia nzma ingejua? MTU akiwa na maendeleo wapuuz badala ya kuiga mbnu za kufanikiwa mnapiga majungu, mtaishia kucheza baikoko na kulala vijumba vya nyasi hivyo hivyosubili utajirike akunyongelee mbali