Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Namba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.
Sio wengi bana,ni baadhi tu tunaotokea maeneo ya marangu marangu huku.
 
peleka upuuz wako mbali kwa wajinha wenzako wacheza baikoko
ingekuwa n hivyo si dunia nzma ingejua? MTU akiwa na maendeleo wapuuz badala ya kuiga mbnu za kufanikiwa mnapiga majungu,mtaishia kucheza baikoko na kulala vijumba vya nyasi hivyo hivyo shwain

Kwa majibu haya hakika namba 12 inakuhusu.
 
Kabila linalo ongoza kwa kufunguliwa sredi. Mnazidi kutuponza mjue.

Sijafanya utafiti katika hilo, ila unalosema kama lina ukweli kiasi,maana siku hizi wapo wengi ,tena wengine wana kazi za maana tu.
 
Back
Top Bottom