mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,570
Sio wengi bana,ni baadhi tu tunaotokea maeneo ya marangu marangu huku.Namba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.