Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

Wakuu zile grid line ukifuta utazirushaje
Click View tab, then check (weka tick kwenye) gridlines
20230410_224022.jpg
 
Hii niliitumia sana na ilinisaidia kwenye kuvuta taarifa kutoka mikeka tofauti, lakini sasa nimesahau kuweka zile command. Kuna siku nilikesha nikijaribu kuingiza formula kuunganisha mikeka miwili mmoja una majina na namba na mwingine una namba tu.
tupe hata formula moja mkuu
 
Mwaka may,2017 Hadi kufika December 2018 nilikuwa mkali Sana was hyo kitu nilikuwa mkali haswa kwani ktk kampuni niliyokuwa nafanyia Kaz tulietewa mtaalam wa kutufundisha ilikuwa tamu balaa kwani asilimi 99 ya Kaz zile ziliihitaji mtu kujuwa Excell vyema ,feliter ,kupanga , calculation zote

Sasa ajabu usipo fanya practice Hakika utasahau kila formula
 
Hii inafanana na ukiweka kasa kwenye namba ya kwanza ukiwa column hiyo hiyo buruza namba bila kuachia hadi namba ya 21
ungekuwa na excel pembeni ungepractice hio unayosema wewe ni kufill hii kazi yake ni kuhesabu watu waliopata vigezo fulani mfano kwenye hio nimejaribu kuhesabu waliopata juu ya 21
 
Hii niliitumia sana na ilinisaidia kwenye kuvuta taarifa kutoka mikeka tofauti, lakini sasa nimesahau kuweka zile command. Kuna siku nilikesha nikijaribu kuingiza formula kuunganisha mikeka miwili mmoja una majina na namba na mwingine una namba tu.
Mm bianfs nazichezea sana Excel lkn mnyama vlookup amegoma kichwani, naniulizaga hii kichwa inataka nini
 
Mwaka may,2017 Hadi kufika December 2018 nilikuwa mkali Sana was hyo kitu nilikuwa mkali haswa kwani ktk kampuni niliyokuwa nafanyia Kaz tulietewa mtaalam wa kutufundisha ilikuwa tamu balaa kwani asilimi 99 ya Kaz zile ziliihitaji mtu kujuwa Excell vyema ,feliter ,kupanga , calculation zote

Sasa ajabu usipo fanya practice Hakika utasahau kila formula
tupe unazozijua dr
 
Mm bianfs nazichezea sana Excel lkn mnyama vlookup amegoma kichwani, naniulizaga hii kichwa inataka nini
ila kuna mkeka niliwahi kuwa nao una vlookup ngoja nitakutumia pm ujarbu kuukagua pengine unaweza elewa mi nilishindwa niliiona vigezo wameweka kwenye sheet nyingine afu jamaa anakuja kuingizia tu huku
 
Mwaka may,2017 Hadi kufika December 2018 nilikuwa mkali Sana was hyo kitu nilikuwa mkali haswa kwani ktk kampuni niliyokuwa nafanyia Kaz tulietewa mtaalam wa kutufundisha ilikuwa tamu balaa kwani asilimi 99 ya Kaz zile ziliihitaji mtu kujuwa Excell vyema ,feliter ,kupanga , calculation zote

Sasa ajabu usipo fanya practice Hakika utasahau kila formula
Nilisimamishwa kazi kitengo flan serikalini, nikitengo cha kuchakata taarifa za multi sector wife Siku Moja ananikuta nachezea keyboard, nilivyokamatia nacheza na command prompt, nikitoka huku nacheza na Excel, basi mwendo wa vidole vi4 huku vinne huku
 
Back
Top Bottom