Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

Ahsante sana Mkuu hatimae leo nmejua maana ya kisanduku cheusi, kwa mara ya kwanza leo pamoja na kuwa uzi mrefuuu nimemaliza kusoma pamoja na comment zoooote japo zingine unajikuta unacheka pekee yako, naipenda bure jamii forum ni zaidi ya darasa
 
Ahsante sana Mkuu hatimae leo nmejua maana ya kisanduku cheusi, kwa mara ya kwanza leo pamoja na kuwa uzi mrefuuu nimemaliza kusoma pamoja na comment zoooote japo zingine unajikuta unacheka pekee yako, naipenda bure jamii forum ni zaidi ya darasa
Idumu JF
 
Mtoa mada kajitahidi ila watz tusiwe wavivu kuna channel inaitwa national GEOGRAPHIC AU NAT-GEO hapa utapata full data kwanini ndege zinaanguka fdr na cvr ni vitu gani kipindi kinaitwa aircraft crush investigation

Sent using Jamii Forums mobile app


NAOMBA UNIELEKEZE KUHUSU HII CHANNEL MKUU,NAWEZA KUIPATIA WAPI NIWE NACHEKI,NAPENDA SANA KUPATA TAARIFA KUHUSU NDEGE.
 
Nikisoma threads kama hizi ndo nazidi kuwakubali wazungu. Wanahangaisha akili zao kwa manufaa ya dunia nzima
 
The Monk, Sijui nilidanganywa kuhusu rangi yake ila nimewahi kusoma sehemu wanadai kwamba mwanzoni vibox hivyo vilikua na rangi nyeusi iliyopelekea jina kuitwa 'black box' sababu ya badae kubadili rangi ni kwa vile rangi nyeusi haionekani.

Hebu fikiria ajali imetokea mvurugano wa eneo husika alafu kisanduku hicho kina rangi nyeusi ngumu sana kukiona.

Maamuzi ya kuweka rangi ya chungwa ni kurahisisha ajali ikitokea kionekane kwa urahisi kuliko ile nyeusi.

Sijui kama nilidanganya ila Elimu haina mwisho na maendeleo hayana chama teh teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKATI WENZETU WAKIWEKEZA KWENYE MAMBO YA MAANA SISI HUKU JENERALI WA JESHI ANAUNGA MKONO UPUMBAVU HALAFU KUNA JITU LINATUDANGANYA KILA SAIKU ATI UCHUMI UNAPAA KWA SPIDI YA BALANGULU
 
Mkuu britanicca umeandika vizuri. Ila next time you've got to credit the source of your information, coz I know for sure you read it somewhere.

Hata hivyo huku wenzetu wakiumiza vichwa kila siku, sisi tunapata latest technology, tunasafiri kwa vyombo vyao, wanabuni vitu vipya kila siku, wanatafuta suluhu pale ikitokea shida, they risk their lives.

Sisi huku tunanunuana kama njugu, tunapoteza fedha kwenye mambo ya kijinga, hatuwezi kusimamia hata projects za kawaida tu kama BRT, we can't keep order. Najiuliza sisi tuliumbwa kwa mfinyanzi au kichanga?
 
Eli79,
Helow sir how are you,
For sure no one can write without gathering information from different sources,

This was accumulated from National geographic, Wikipedia, and Scientific America magazine,

It's compilation took me 20 days
 
Helow sir how are you,
For sure no one can write without gathering information from different sources,

This was accumulated from National geographic, Wikipedia, and Scientific America magazine,

It's compilation took me 20 days

Great!
You've enlighten most of us, keep on educating us!!
 
Great!
You've enlighten most of us, keep on educating us!!
Yes sir that's why " nowadays I don't invest more time in politics,especially Tanzania politics,
Now am interested in International news, science and technology, football, Economic development and Mechanics,
 
Yes sir that's why " nowadays I don't invest more time in politics,especially Tanzania politics,
Now am interested in International news, science and technology, football, Economic development and Mechanics,
You've chosen the right path. TZ politics are a waste of your resources, just invest more in issues that matter to you.
 
Kwa teknolojia ilipofika hapa kwanini bado tunahitaji kua na black box kwenye ndege na kuitafuta kwa gharama kubwa hasa ndege inapopata ajali baharini? kwanini taarifa zisiwe zinatumwa moja kwa moja kutoka kwenye ndege kwenda kwenye control tower au sehemu yeyote ile maalum na kuhifadhiwa huko?

Nadhani muda umefika wa kubadili huu utaratibu,black box imeshapitwa na wakati kwa muda huu.
 
Mkuu black box ni muhim pale ambapo mfano mawasiliano yamekatika mfano yamekatikia mwanza kutoka control tower Alafu ndege inapotea kwenda kuanguka kigali Rwanda ,

Hii Blackbox inasaidia sana kujua nini kimeendelea baada ya kupoteza mawasiliano, au nini hasa marubani walikuwa wanajaribu ku report hakifiki,

Ila kwa kuongezea haitumiki Black box tu
There some ground Investigators so who works on ground where incident occurred or happened
How investigators work on the ground differs from country to country dependent on the lead investigator. But generally, separate teams will focus on different disciplines.

Kuna maeneo muhimu ya uchunguzi:

Engineering: inahusisha kujua jinsi g ani ndege ilikuwa inafanya kazi, design yake a system zake, hivi usaidia pia kwenye kuandaa report ya uchunguzi,

Operations: wanafanyiwa usaili au niite kuulizwa maswali ya papo kwa papo wafanyakazi wa ndege walio baki, ili kujua wana operate vipi,
Hawa wanaulizwa, flight crew, operators and regulators

Flight data: hapa ndo sasa Black boxes, surveillance and en-route radar, CCTV, still and video cameras hivi vinasaidia kujua mienendo ya ndege

Human factors: Hii inasaidia kujua ahsa binadamu au makosa ya kibinadamu yanayofanywa na shirika hilo jana nayo nini chanzo cha ajali

Lakin uchunguzi huu utumia muda sana

Once everything has been documented and photographed, and witnesses have been contacted, the wreckage is usually recovered and transported to a secure facility for extensive analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…