Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

Tanzania hatuna mitambo ya kusoma black box?,maana kuna ajari moja ilitokea,kisanduku kiliperekwa nje ya nchi kusomwa,hatuna wataalamu na mitambo au ilikuwa mipango ya jamaa kupanda pipa kwenda huko ughaibuni?..
 
Tunaambiwa tukio la NAMNA HII NI NADRA SANA KUTOKEA na almost impossible kutokea kutokana na usafiri wa anga kuwa miongoni mwa mifumo iliyo complex kabisa kwaajili ya usalama, je ni nani alizembea hapa na kwanini ndege kutoka pande tofauti za dunia ziruke at the same altitude?
 
Description
Cockpit Voice Recorder (CVR) - a device used to record the audio environment in the flight deck for accidents and incident investigation purposes. The CVR records and stores the audio signals of the microphones and earphones of the pilots’ headsets and of an area microphone installed in the cockpit.
www.skybrary.aero
 
Hapo kwenye usomajinwa data kwenye hicho kifaa kuna sheria ambazo zinaweza kuwasaidia watengenezaji wa ndege kuficha taarifa endapo ikigundulika ajali imesababishwa na ubovi wa ndege!
Pia haiwezekani hicho kifaa kikaunganishwa na waongoza ndege wakati bado wakiwa safarini ili. Waweze kujua tatizo la ndege na kuwatahadharisha marubani? Kabla ya ajali
 
Hilo nalo linawezekana maana wanaweza kuhofia kupoteza uaminifu kwa wanunuzi wa ndege
 
Back
Top Bottom