Labda nimsaidie, taarifa huwa zinatumwa mkuu, yani safari nzima rubani huwa anakuwa anawasiliana na ground control room wanaaongoza ndege, na kila akiingia anga la nchi husika mawasiliano yanaendelea mpaka anapofika destination kama ambavyo wewe unasema.
Hizo taarifa kwenye black box zinatunzwa tu incase imetokea sitofahamu fulani basi ndio inatumika kwa ishu kama ambazo mleta mada ameeleza za kujua chanzo cha ajali au matatizo mengine ya kiufundi kwenye ndege maana kinafuatilia mpaka mwenendo mzima wa engines.