Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

Umeibiwa kindezi sana, hivi kweli kabisaaa mdudu akuingie jichoni halafu usihisi chochote mpaka jirani yako akustue..!
 
Moja ya story ya kijinga kabisaa kuletwa hapa jukwaani. Hivi mwandishi anapafahamu kweli mlimani city!? ATM kutoa milioni 2 ndani ya Saa 24!?? Kukumbuka password ukiwa umezimia!?? Umezimia halafu mtu aliyejifunika usoni anakubeba hadi kwenye ATM unatoa pesa halafu anakubeba tena kwenda kukutupa!?? Yaani mwanangu mwenyewe wa darasa la pili hawezi kuamini hii story.
 
Hiyo kuhusu kumuita jamaa inawezekana ni watu walikua wanamfuatilia.

Maana jana niliangalia kipindi cha heka heka mmama kaiba mtoto. Alikua anajua majina ya watu wa mtaa mzima mpaka watoto lakini watu wote hawamjui yeye.
 
Back
Top Bottom