Kuna utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wanaodai kwamba ni mawakala wa makampuni ya simu na kwamba wanaweza wakakupatia bando za Internet kwa bei nafuu kama huyu tapeli anayeitwa "Maulidi Athumani Muhenga" anavyojaribu kudanganya hapa.
Habari. Naitwa Emmanuel Natoa Code Mpya Za Internet Unapata. ~GB10 sh 3000 mwezi ~GB15 sh 5000 mwezi Tigo, voda, artel, na halotel.
Baadaye nikajaribu kumtumia leo hii hii shilingi 11,000/- kwa njia ya M-pesa ili anitumie bando ya GB 25 kwa mwezi kama alivyodai ili nione uongo wake kama ujumbe huu wa M-pesa unavyoonyesha hapa chini:
BJB1EZ8BNVT Imethibitishwa Tsh11,000.00 imetumwa kwa 255758498651 - MAULIDI ATHUMANI MUHENGA Tarehe 11/10/24 saa 1:44 PM Jumla ya Ada Tsh350.00 (M-Pesa Ada Tsh350.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako ni Tsh162,581.99.
Soma Pia: Huu ni Ushahidi wa Wizi unaofanywa na Kampuni ya Simu ya Airtel
Hiyo ilikua majira ya saa 7:44 mchana wa leo na baada ya hapo tu huyo tapeli "Maulidi Athumani Muhenga" hakuweza kupokea tena simu japo awali alidai zoezi hilo lingekamilika ndani ya dakika 5 tu lakini ndo akatoweka hivyo.
Hivyo tujihadhari na hawa matapeli wa mtandaoni.