jamaa alikuwa serious wala hakuwa anajaribu ila baada ya kutapeliwa ndio anajidai alikuwa anampima wakati hela kashatuma hapa anajifariji tu huyo baada ya kupigwa kwa kujidai hana uchungu na hio hela aliyotoa wakati inamuuma.!Eti nikajaribu kutuma ili nione UONGO WAKE, ushauona sasa