Tujihadhari na huu utapeli unaofanywa mitandaoni na watu wanaojifanya eti ni mawakala wa makampuni ya simu

Eti nikajaribu kutuma ili nione UONGO WAKE, ushauona sasa
jamaa alikuwa serious wala hakuwa anajaribu ila baada ya kutapeliwa ndio anajidai alikuwa anampima wakati hela kashatuma hapa anajifariji tu huyo baada ya kupigwa kwa kujidai hana uchungu na hio hela aliyotoa wakati inamuuma.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…