Mabadiliko ya Sheria ya usalama wa taifa, kufanya watakayo kwa faida ya binafsi na kujificha humo kama Jambo ni la faida kwa Taifa .Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.
1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
Kwasababu hajatekwa mamako wewe chawa la mamaTatizo la vijana wengi wanaishi kwa mufuata mkumbo na hisia na sio uhalisia, wanaweza chukia mtu kwa maneno ya kusikia ukimuuliza kwa nini unamchukia huyu unakuta hana sababu ya msingi atakuambia ameiba hela au ni mwizi ukumuuliza umejuaje anakwambia fulani kasema, ukimfuatilia huyo fulani unakuta ni mwanaharakati au ni mpinzani. Mpunzani au mwanaharakati ambaye kula mtawala kwake ni mbaya.
hiyo sumu inaenezwa na chadema, ijulikane chadema nchi hii wamewachukia marais wote kuanzia mkapa, kikwete, magu na samia. Chadema walimkataa kikwete awamu ya pili na walimwambia nchi isingetawalika, chadema walimkataa magu hadi bungeni walitoka, chadema pia wanamkataa samia kwa kifupi chadema wapo sawa kuwakataa marais na ccm maana ndio mtaji wao cha msingi na muhimu chadema wasidhani hao marais na ccm wanaipenda chadema hiyo ni kama simba na yanga, kwahiyo mnaokaa kushangaa chadema kueneza sumu kwa vijana, chadema wanashirikiana na wanaharakati, chadema wanapakaza ubaya nje lkn ndio siasa waendelee, rais samia naendelea na majukumu yake amemaliza awamu ya kwanza na sasa anaendelkea na awamu ya pili.Nimeoma mahala huko Arusha rais Samia akihutubia kuwa vijana wamepewa sumu ili wamchukie yeye na serikali yake.
Nani huyu anayewapa sumu vijana na kumchukia kiasi cha kusema kuwa sio rais aliyechaguliwa kwa kura?
Je, sio nepotism, ufisadi na matukio ya kubambikia watu kesi pia utekaji na wizi wa kura ndio tatizo kubwa linalosababisha yeye na CCM kuchukiwa mithili ya harufu ya mayai viza yaliyopasuka kwenye banda la bata.
utekaji umeanza kwa Samia? nepotism imeanza kwa samia? kubambikiwa kesi imeanza kwa samia? wizi wa kura umeanza kwa samia? acheni kubebwa na upepo wa maria na mange wenye chuki kwa kukosa teuzi ccm, ni juzi tu hapa maria amekaa meza moja na samia, na mange alimpokea samia marekani na picha aliomba. hii u turn ya ghafla shida nn?Nimeoma mahala huko Arusha rais Samia akihutubia kuwa vijana wamepewa sumu ili wamchukie yeye na serikali yake.
Nani huyu anayewapa sumu vijana na kumchukia kiasi cha kusema kuwa sio rais aliyechaguliwa kwa kura?
Je, sio nepotism, ufisadi na matukio ya kubambikia watu kesi pia utekaji na wizi wa kura ndio tatizo kubwa linalosababisha yeye na CCM kuchukiwa mithili ya harufu ya mayai viza yaliyopasuka kwenye banda la bata.
CCM ilitumia chopa kuwanyunyuzia sumu vijana ili waichuki CCM na mwenyekiti wake, CCM oyeeee! Oyeeeeè.Nimeoma mahala huko Arusha rais Samia akihutubia kuwa vijana wamepewa sumu ili wamchukie yeye na serikali yake.