Tujikite katika mapindzi ya Uchumi

Tujikite katika mapindzi ya Uchumi

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Leo tunaadhimisha miaka 59 mapinduzi ya zanzibar nimekumbuka maneno ya Rais Samia Suluhu aliyosema akiwa anahutubia katika kuhitimisha Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar alisema kuwa "Mapinduzi ya kisiasa tumeshajikomboa, wote hapa ni wanasiasa na kuanzia 1964 mpaka leo siasa imetufikisha mbali sana lakini mapinduzi ya kiuchumi na ustawi wa jamii bado ndio mapambano tunayokwenda nayo" -Rais Samia Suluhu

Wazee wetu walipambana kuleta mapinduzi ya kisiasa sisi ni jukumu letu kupambana kuleta mapinduzi ya uchumi na Rais Samia Suluhu anamikakati mbalimbali inayotusaidia kuendelea na mapinduzi ya kiuchumi kama vile

1. Serikali kupitia mradi wa Build Today for a Better Tomorrow imetenga TZS bilioni 3 kuwawezesha vijana kufanya kilimo cha kisasa, ambapo watapatiwa teknolojia, pembejeo na kuunganishwa na masoko.

2. Serikali inaweka mazingira wezeshi yatakayozalisha ajira

3. Serikali inaendelea kuwekeza kwenye vyuo vya ufundi
Haya ni machache tu lakini yapo megi sana serikali inafanya ili kukuza uchumi wa Taifa letu
 
Back
Top Bottom