Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa.

Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi halafu wakadondokea pua kwenye timu zao mpya.

Naanza na huu:
Andy Carroll kutoka Newcastle kwenda Liverpool

Ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.
musonda
 
Sijui nunez ana chekea nini any way karibu kwenye stage [emoji81][emoji81]
 
Back
Top Bottom