Hivi kichuya yuko wapi siku hizi?Kichuya....
Mikiani FC.Hivi kichuya yuko wapi siku hizi?
Sasa hivi chelski wana Havertz namfananisha sana na Kezman.Mateja Kezman, PSV Eindhoven kwenda Chelsea.
musondaKufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa.
Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi halafu wakadondokea pua kwenye timu zao mpya.
Naanza na huu:
Andy Carroll kutoka Newcastle kwenda Liverpool
Ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.