nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
Huyu jamaa Man U walimsajili kwa ajili ya kumuweka sawa na kisha wafanye biashara,hawakuna serious naye sana ktk mipango yao si siwezi sema ni flopmanucho man u
Hapo kwa Kaka si kweli,ni chuki za Morinyo ndio zilimmaliza Kaka plus majeruhi.Danny Sserunkuma-Simba
Chicharito-Real Madrid
Samwel Eto'o- Internazionale
Ricardo Kaka-Real Madrid
Robinho-Man City
Obren Cirkovic-Yanga
Mohamedi Shiboli-Simba
Salamba-Simba
Orji Obinna-Simba
Nkanu Mbiyavanga-Simba
pia alikuepo gabriel obertanHuyu jamaa Man U walimsajili kwa ajili ya kumuweka sawa na kisha wafanye biashara,hawakuna serious naye sana ktk mipango yao si siwezi sema ni flop
said bahanuz yangaDanny Sserunkuma-Simba
Chicharito-Real Madrid
Samwel Eto'o- Internazionale
Ricardo Kaka-Real Madrid
Robinho-Man City
Obren Cirkovic-Yanga
Mohamedi Shiboli-Simba
Salamba-Simba
Orji Obinna-Simba
Nkanu Mbiyavanga-Simba
pia mtu mzima wenyewe walikua wanamwita clever-son mbrazil JOSE KLEBERSONFergie alizingua sana kumnunua Huyo msela kichwa kikubwa kuliko mwili dah
FLAMINI hakwenda barca alienda kwa wakali wa italy AC MILAN A.K.A ROSSONERIShevchenko kwenda Chelsea, Herman crespo kwenda Chelsea, zlatan kwenda barca, flamini kwenda barca,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha bado sana ni mwanzo huu ndugyRonaldo - Juventus
Hata kwa etoo na chicharito si kweli. Chicha alenda Madrid kwa mkopo na hakuwa first choice striker,na etoo kule inter alifanya makubwa sana mchango wake ukaipeleka inter fainali uefa na kuchukua ubingwa huoHapo kwa Kaka si kweli,ni chuki za Morinyo ndio zilimmaliza Kaka plus majeruhi.
Hata kwa etoo na chicharito si kweli. Chicha alenda Madrid kwa mkopo na hakuwa first choice striker,na etoo kule inter alifanya makubwa sana mchango wake ukaipeleka inter fainali uefa na kuchukua ubingwa huo
Ronaldo - Juventus
Bado una msimamo huu huu?