Zali la mentali ya prof wakati inatoka mwaka huo kama sijakosea na mie nilikuwa nimeng'oa mtoto mmoja wa kishua sana, kila mara ninapopata nafasi ya kuisikia hiyo ngoma namkumbuka yule mtoto, maisha yanaenda kasi sana.Mwaka huu bado unashikiria record kwani ni mwaka ambao wanamuziki wengi walitoka zaidi ya miaka mingine toka bongo fleba ianze
1.noorah- vijimambo
2.Q-chief- aseme
3.ngwea-getto langu
4.mandojo&domokaya-nikupe nini
5.Kali p-imekaa vibaya
6.ziggy-d-enomic
7.mad ice-baby gal
8.pig black-nini mnataka mazee
9.matonya-uaminifu
10.bwana misosi-nitoke vipi
11.Mr blue-blueblue
12.university corner-tshirt na jeans
13.madee-kazi yake mola
14.akili ze brain-regina
Joh Makini, Black Rhino, Bushoke, JebbyAlitoka kwa haraka haraka
Joslin-perfume
Nako to nako
yeahMwaka huu bado unashikiria record kwani ni mwaka ambao wanamuziki wengi walitoka zaidi ya miaka mingine toka bongo fleba ianze
1.noorah- vijimambo
2.Q-chief- aseme
3.ngwea-getto langu
4.mandojo&domokaya-nikupe nini
5.Kali p-imekaa vibaya
6.ziggy-d-enomic
7.mad ice-baby gal
8.pig black-nini mnataka mazee
9.matonya-uaminifu
10.bwana misosi-nitoke vipi
11.Mr blue-blueblue
12.university corner-tshirt na jeans
13.madee-kazi yake mola
14.akili ze brain-regina
Huyu na yule ni 2000. Nikiwa darasa la kwanza.Fid q- huyu na yule
K-sal - mwana mkiwa akimshilikisha ferooz.
Haiwezekani, rejea kumbukumbu zako vizuri, pia sikiliza interview ya dizim online alitaja mwaka huu nyimbo aliutoa ni 2003.Huyu na yule ni 2000. Nikiwa darasa la kwanza.
Zali la mentali ya prof wakati inatoka mwaka huo kama sijakosea na mie nilikuwa nimeng'oa mtoto mmoja wa kishua sana, kila mara ninapopata nafasi ya kuisikia hiyo ngoma namkumbuka yule mtoto, maisha yanaenda kasi sana.
Mzee wake alihamishwa kikazi tukabakia kuandikiana barua mpaka 2005 tukapotezana mpaka leo, mwaka 2015 nilikutana nae kwenye social media tukaishia kuwa marafiki tu kwasababu mie nilishafunga ndoa kitambo.what happened rafiki. ukamfyekelea mbali baada ya kupata ulichotaka?
juxBelle 9
Diamonds Platnumz
Shettah
Nay wa mitego
Amini
Lina
Pipi