Tujikumbushe 2003 mwaka ambao wanamuziki wengi walitoka kuliko miaka yote

Mad ice . uyoo jamaa angendelea angetusua sijui kapotelea wapi
Daz nundaz wanapiga masong makali 2002 si mchezo. Kuna kipindi lilikua cha dj jd radio uhuru full bongo fleva kilipandisha chati sana bongo fleva wakina nature, dully Sykes , Mac d , sog dog si mchezo kipindi hicho maslahi ndio yalikua hafifu
 
Hapo kwa Q Chiller na Madaice ni 2001 ~2002
Muziki umeanza kufuatilia lini?
Mad ice alianza kutoa nyimbo yake ya wanadamu 2001
ila haikubamba nahisi hata wewe huijui akaja kubamba na baby girl ambayo alimshirika hardmad ilitoka 2003 mwanzoni na video yake chini ya royal productions ikatoka 2003 june
Q chief alianza kusikika kwenye mpiga debe Mzimuni family 2001 mwishoni akiwa kama mwana kundi 2002 ndipo alipata kiki sana kupitia chorus ya nataka demu lakini 2003 mapema tu akatoa aseme akiwa chini ya smooth vibe project ndio akahit july akazingua album yake ya mwana mnyonge
 
Joh makini hit song yake ile chochote,popote ni 2007 mwanzoni
Black rhino hit song mistari ni 2004 mwishoni Bushoke pia katoka 2004 na barua yalikuwa majira ya mwezi februari
'Hawapendi' ndo ilimtoa Joh Makini
 
Wakati huo ilikuwa haiwezekani ikapita siku bila kumsikia Juma Nature Redion.. either wimbo wake au hata kushirikishwa...

Kipindi hicho Nature angeambiwa atakuja kupotea kabisa angekataa katakata...
 
Joh makini hit song yake ile chochote,popote ni 2007 mwanzoni
Black rhino hit song mistari ni 2004 mwishoni Bushoke pia katoka 2004 na barua yalikuwa majira ya mwezi februari
Huyo Joh Makini mwaka 2003 alikua bado hajaja mjini huyo
 
Muziki umeanza kufuatilia lini?
Mad ice alianza kutoa nyimbo yake ya wanadamu 2001
ila haikubamba nahisi hata wewe huijui akaja kubamba na baby girl ambayo alimshirika hardmad ilitoka 2003 mwanzoni na video yake chini ya royal productions ikatoka 2003 june
Q chief alianza kusikika kwenye mpiga debe Mzimuni family 2001 mwishoni akiwa kama mwana kundi 2002 ndipo alipata kiki sana kupitia chorus ya nataka demu lakini 2003 mapema tu akatoa aseme akiwa chini ya smooth vibe project ndio akahit july akazingua album yake ya mwana mnyonge
Mziki nimeanza kufatilia mwaka 2000 mkuu, thus y siko mbali. Hata huo wanadamu wa Mad ice naupata mkuu, nikukumbushana tu na si kuwa wakati wanahit nilikuwa siwafatilii.
 
Wakati huo ilikuwa haiwezekani ikapita siku bila kumsikia Juma Nature Redion.. either wimbo wake au hata kushirikishwa...

Kipindi hicho Nature angeambiwa atakuja kupotea kabisa angekataa katakata...
Kipindi hicho wanamuziki wenye featuring nyingi ni AY na nature
 
Mziki nimeanza kufatilia mwaka 2000 mkuu, thus y siko mbali. Hata huo wanadamu wa Mad ice naupata mkuu, nikukumbushana tu na si kuwa wakati wanahit nilikuwa siwafatilii.
Sawa sawa mad ice kipindi hicho alikuwa ndio ametoka masomoni dsm
 
Wakati huo ilikuwa haiwezekani ikapita siku bila kumsikia Juma Nature Redion.. either wimbo wake au hata kushirikishwa...

Kipindi hicho Nature angeambiwa atakuja kupotea kabisa angekataa katakata...
Hajapotea kabisa yaan hozi show za mil 1 au mbili na matamasha madogo madogo nahakika anamshahara kuliko meneja wa benki ,shida hela yao inaishia starehe Kuna ngo nilikiwa mhasibu mwanzo mwaka nilimlipa 3m kwa show mbili kigoma na tabora mambo ya uzazi wa mpango,so hajasguka levo za kina Mr nice
 
Back
Top Bottom