Muziki umeanza kufuatilia lini?
Mad ice alianza kutoa nyimbo yake ya wanadamu 2001
ila haikubamba nahisi hata wewe huijui akaja kubamba na baby girl ambayo alimshirika hardmad ilitoka 2003 mwanzoni na video yake chini ya royal productions ikatoka 2003 june
Q chief alianza kusikika kwenye mpiga debe Mzimuni family 2001 mwishoni akiwa kama mwana kundi 2002 ndipo alipata kiki sana kupitia chorus ya nataka demu lakini 2003 mapema tu akatoa aseme akiwa chini ya smooth vibe project ndio akahit july akazingua album yake ya mwana mnyonge