Tujikumbushe: Africa writers series

Ngugu wa Thiong'o ni hatari sana, ukisoma Weep Not, Child! dah mpaka machozi yanaweza kukutoka kumbe ni story tu, pia Petals of blood!

Pia Ferdinand Oyono ni mtaalamu sana, soma Houseboy story inavutia mwanzo mwisho
 
Sikuhizi mitandao imetuharibu...hatujisomei.... Nikiwa form 1 nilikua najeuri sana.. Unakuta nimetulia li. NOvel Petals of Blood..

Siku hizi umbea tu wa mitandaoni..
 
The Beautyful Ones Are Not Yet Born. - Ayi Kwei Armah

Hiki kitabu kinahusu siasa japo unaweza ukahisi ni mapenzi kutokana na heading yake

Kinasadifu kila kitu kilichopo katika Tanzania yetu ya leo.
Kipo kingine kinaitwa LWIDIKO nacho ukikisoma kinasadifu maisha ya sasa ya mTZ
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu. Hiyo house boy by Oyono, kuna ile The old man and a medal(Oyono)
Concubine.
Pass like a shandow.
Kinjeketile.
The girl of war.
Girls at War by Chinua Achebe.
The Great Pond was not written by Achebe.
 
Wole Soyinka
 
The Beautyful Ones Are Not Yet Born. - Ayi Kwei Armah

Hiki kitabu kinahusu siasa japo unaweza ukahisi ni mapenzi kutokana na heading yake

Kinasadifu kila kitu kilichopo katika Tanzania yetu ya leo.
Kuna mwalimu alinifundisha hiki kitabu mpaka kesho nakikumbuka na nitamkumbuka mzee yule daima. The best teacher ever. Our Bus driver ameacha njia.... Conductor hana la kusema wala hamkumbushi..... Passengers tuko na coins tu.....
 
Pia kuna An Enemy Of The People by Henrik Ibsen kama sikakosea... Hiki pia ni kizuri. A man who is called An enemy of the people ( Dr. Stockman) is actually saving the people from spa baths. And he is a man of people but his brother akamsababishia maisha yake kwenda mrama.
 
Mkuu kweli umetukumbusha mbali mpaka natamani kuvisoma tena
Ombi nawezaje vipata vya soft copy mkuu miongoni mwa hii list !!!
 
Hivi huyo mwandishi ana vitabu vingine zaidi ya hicho?
 
Sikuhizi mitandao imetuharibu...hatujisomei.... Nikiwa form 1 nilikua najeuri sana.. Unakuta nimetulia li. NOvel Petals of Blood..

Siku hizi umbea tu wa mitandaoni..
Labda wewe ndo husomi, tena mitandao imewezesha kujua vitabu vizuri na vinapopatikana.
 
Kumbe mshana jr ni wa kale kidogo maana sidhani kama sasa hivi bado wanasoma hivi vitabu. Pia kuna hiki:

Kill me quick - Meja Mwangi
 
The Imprisonment of Obatala
 
Labda wewe ndo husomi, tena mitandao imewezesha kujua vitabu vizuri na vinapopatikana.
Hajitambui huyo, analinganisha akili zake na akili za watu wengine.
Tena via mitandao akishindwa kusoma vitabu yeye ndio mwenyewe matatizo sio mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…