Tujikumbushe: Africa writers series

Tujikumbushe: Africa writers series

Three Sweaters One Husband-Until further Notice
I will Marry When I want
A Man Of the People
No Longer At Ease
 
This time tomorrow - Ngugi wa Thiong'o

Is it possible - Wole Soyinka
 
A Man Of The People by Chinua Achebe, Rwanda Magere by Okoit Omutata, Betrayal In The City by Francis Imbuga, I Will Mary When I Want by Ngugi wa thiong'o, Three Suitors One Husbund by Oyono Mbia,
 
Mtoa huzi ww bila kuzisoma hizo shule ingekuwaje?andika na za kiswahiki mfano sokoni kariakoo na bailu katama
 
Mimi napenda poems za Almando Guebuza.
Mfano frontline na they drive me along they do they do...
Kuna ile if we must die
Pia kuna novels kama
No longer at ease by chinua achebe
Kuna A man of the people by chinua achebe
A grain of wheat by Ngungi wa thiongo
Kuna is it possible
Kuna I will.marry when I want
Kuna wheap not a child
Kuna kingine sijui kinaitwa .... Of Obatala nimesahau jina lake exactly
NI the Imprisonment of Obatala humo anazungumzia : Enshu confuser of the people, who throws a stone of today to kill a bird of tomorrow! Yaani ilikuwa ni raha tupu.
 
Kwa wapenda mashairi tafuta kitabu cha
Chungu tamu
Mwandishi sijui nani
Then nenda kuna shairi linaitwa Dakitari Askari asee
Mashairi yake babbu kubwa
Yani kama vile unaaangalia movie
 
The river between by Chinua Achebe
Hapa mkuu umechemka vibaya sana,, ikabidi nikimbilie kwenye kabati langu kuangalia hivi ni kweli "The River Between" kiliandikwa na Chinua Achebe? Hapana,, bali ni Ngugi wa Thiong'o!
 
Mtoa huzi ww bila kuzisoma hizo shule ingekuwaje?andika na za kiswahiki mfano sokoni kariakoo na bailu katama
Nyingine nimezisoma nje ya shule...hapa ni wale walioingia kwenye AWS
 
Hapa mkuu umechemka vibaya sana,, ikabidi nikimbilie kwenye kabati langu kuangalia hivi ni kweli "The River Between" kiliandikwa na Chinua Achebe? Hapana,, bali ni Ngugi wa Thiong'o!
Asante sana kwa masahihisho
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu. Hiyo house boy by Oyono, kuna ile The old man and a medal(Oyono)
Concubine.
Pass like a shandow.
Kinjeketile.
The girl of war.
Hiyo the Old man and the medal nilicheka Vibaya! Very funny!
 
"Americana" na huyu Dada mnigeria new generation ya African Author.
 
Bed of Roses and other stories - Agoro Anduru
Temptation and other writings - Agoro Anduru
Three Suitors: One Husband - Guillaume Oyono-Mbia
Infinite Riches - Ben Okri
Arrow of God - Chinua Achebe
A Man of the People - Chinua Achebe
Everything Good Will Come - Sefi Atta
 
Binafsi nilivisoma vitabu zaidi ya 50 vya African Writers Series nikianzia na HOUSE BOY by Ferdinand Ayono alichokinunua rafiki yangu Laban Kauga (marehemu) miaka ya sitini kule Mbeya na kufungua mlango wa kusaka kila kipya kilipotokea.

Vitabu kama Things Fall Apart; No Longer At Ease; One Man One Matchet; The Only Son; Obi; A Wreath for the Maidens; A Bridge for the Wedding;A Dancer of Fortune; Mission to Kala; The Concubine; The Great Ponds; A Few Days and Nights; The Edifice; Girls at War; Sun Set in Biafra; Chief, The Honourable Minister; Kinsman and Foreman etc etc etc vilikuwa na mvuto wa kipekee na kueleweka zaidi na sisi tuliozaliwa na kukulia vijijini na kusoma enzi za harakati za nchi za kiafrika kudai Uhuru na kufanya kazi mwanzoni mwa Uhuru.

Kitabu kama "The Concubine" ambacho tangu neno la kwanza hadi la mwisho kilitawaliwa na desturi za kiasili na mila za eneo bila kuingiza hata neno moja la kigeni kilinivutia sana mimi niliyezaliwa kijiji cha ndani kabisa km 33 toka makao makuu ya wilaya yangu ambako gari ndogo ya kwanza kuiona ni ya Askofu aliyekuja kutoa Kipa-Imara. Huko hakukuwa na duka hata moja la mhindi au mwarabu.

Huwa narudia kuvisoma vitabu hivyo kufifurahisha.
 
Back
Top Bottom