Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
mpaka leo ni kitenda wili
Tuliofika eneo la ajali tuliona,ni speed ilisababisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka leo ni kitenda wili
Vuta subira mkuu bado mawasiliano ni ya shida walioko huko ndani ndani mtandao unasumbua.Tabora sehemu gani mkuu
Niko urambo naweza fika eneo LA tukio mkuuVuta subira mkuu bado mawasiliano ni ya shida walioko huko ndani ndani mtandao unasumbua.
Uokozi unaendelea.
Kipengele cha kilichojiri Bungeni juu ya ajali hiyo
KAULI YA MHE. PROF. M.J. MWANDOSYA (MB.),
WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI KUHUSU KUHITIMISHA ZOEZI LA UOKOAJI,
UTENGENEZAJI WA NJIA NA KUUNDWA KWA TUME YA UCHUNGUZI WA AJALI YA TRENI YA ABIRIA NA.A12 ILIYOTOKEA TAREHE 24/6/2002 KATI YA IGANDU NA MSAGALI
Niko urambo naweza fika eneo LA tukio mkuu
Mungu Ni mwema Sana.Nilikuwemo kwenye hiyo treni, behewa letu tulipona watu saba (7). The rest is history.
Kazi nzuri bila shaka mungu alijaalia baraka ukavaa mshatiNilikuwa JKT Makutupora(Operation Mkapa),nilishiriki kuokoa,kuchimba makaburi na kuzika.
Pole mkuuNlimpoteza mama yangu
Pole Mkuu,hivi kuna Fidia mlilipwa na Serikali au baada ya mazishi ndio ikawa kimya mpaka leo??Nlimpoteza mama yangu
Nilikuwemo kwenye hiyo treni, behewa letu tulipona watu saba (7). The rest is history.
Pole snNlimpoteza mama yangu
Pole sanaNlimpoteza mama yangu
Kwanza mtu anasafisha makaburi ili iweje?hivi hata kusafishwa kwa makkaburi ni swala la kulaumu serikali?
NOT FAIR AT ALL