Tujikumbushe ajali ya Treni 2002, Dodoma

Aiseee miaka hiyo ni kama ilitaka kuwa kama ajali ya mv bukoba kwa watu wa kanda ya ziwa familia nyingi unakuta imepoteza mtu au watu kadhaa.


Hii ya tabora tena ni hatari sana mtupe mrejesho ambao mnaweza kufika eneo la tukio.
 

Hahahaaha Zubedayo mchuzi alifia wapi? Huyu MATAGA alisumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…