Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Rais mwenye upumbavu kama wa Trump haangalii uwezo wa mtu. Sycophancy ndiyo qualification muhimu kuliko zingine zote!Dr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!.
Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi.
Kinachonimaliza zaidi juu ya Waziri Gwajima Dr, ni wepesi wake wa kuitikia ( Reaction), Anapata jambo saa Moja na nusu Asubuhi, Saa Mbili kafika Eneo la Tukio .Hawa ndio Viongozi Wanatakiwa sasa.
Watu wengi hawajui, Wakati Mh Gwajima, Dr , akiwa Waziri wa Afya, Kiutendaji, Kiuongozi Wizara ilitulia Kwa sababu ALIIJUA VILIVYO na hii ilipelekea Huduma ya Afya juu mpaka chini uliimarika , Huwa kuna ubora wa kutukuka Kiongozi alopewa Jukumu la Kusimamia Wizara au Taasisi Fulani kua na Taaluma inayoendana na Jukumu lake .
Hapa chini Field Marshall Dr Gwajima, alifanya Ziara yake huko Kanda ya ziwa , Aliwanyoosha Watumishi Janja Janja, wazembe na wavivu, ambao Kwa MAKUSUDI KABISA, WALIAMUA KUMDANGANYA BAADHI YÀ MAMBO KADHAA
Mwisho, Dr Gwajima akauliza, Je Ningekua Mwalimu, au Mwanasheria, sitayari mngekua mmenidanganga na nmeondoka hapa???.
Unaweza jiuliza, hivi ni Tanzania tu? Inawezekana vipi Waziri wa Afya kua Mwalimu ?
Watu mtasema ,óhooo Waziri sio mtendaji, Kuna Katibu Mkuu Wizara .
Kama Waziri sio Mtendaji kwanini Waziri wa Afya Mh Jenista Muhagama, Hivi karibuni alionekana akimsifia Naibu Waziri wake Dr Mollell, 'Namshukuru sana Dr Mollell, Naibu wangu kiukweli ananisaidia mambo mengi sana)
Katika Nchi ilojaa Wapigaji, watu wavivu na wazembe , Waziri ni rahisi kudanganywa na Naibu Waziri, au Katibu na Naibu karibu ikiwa interests zao zinatofautiana, hapo ndipo linakuja UMUHIMU WA TAALUMA KATIKA WIZARA HUSIKA.
Akawekwa Mtanga, akaishia kuvurundaa.
Sahizi yuko Jenista, ni kuvurundaa tu , Wizara inaonekana kuendeshwa na Dr Mollell .
Wizara ya Afya, katika Mataifa ya Watu wenye Akili , ni Moja ya Wizara nyeti inayotazamwa Kwa Jicho la karibu kama sehemu ya Usalama wa Taifa, ni Wizara ambayo viongozi wake hawatakuwi kuchaguliwa tu sababu ya Mapenzi, Utiifu , inahitaji MTU Bingwa, Bobezi ,Mzoefu wa Sekta ya Afya . Haiwezekani kua msimamizi wa kitu usichokijua, huwezi kutoa Matokeo Chanya !.
Mwisho unaweza wauliza wanasema Waziri sio mtendaji, Vipi Wizara ya Fedha, inaweza kukatiwa na MTU yoyote ?.
@Dr GwajimaDr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!.
Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi.
Kinachonimaliza zaidi juu ya Waziri Gwajima Dr, ni wepesi wake wa kuitikia ( Reaction), Anapata jambo saa Moja na nusu Asubuhi, Saa Mbili kafika Eneo la Tukio .Hawa ndio Viongozi Wanatakiwa sasa.
Watu wengi hawajui, Wakati Mh Gwajima, Dr , akiwa Waziri wa Afya, Kiutendaji, Kiuongozi Wizara ilitulia Kwa sababu ALIIJUA VILIVYO na hii ilipelekea Huduma ya Afya juu mpaka chini uliimarika , Huwa kuna ubora wa kutukuka Kiongozi alopewa Jukumu la Kusimamia Wizara au Taasisi Fulani kua na Taaluma inayoendana na Jukumu lake .
Hapa chini Field Marshall Dr Gwajima, alifanya Ziara yake huko Kanda ya ziwa , Aliwanyoosha Watumishi Janja Janja, wazembe na wavivu, ambao Kwa MAKUSUDI KABISA, WALIAMUA KUMDANGANYA BAADHI YÀ MAMBO KADHAA
Mwisho, Dr Gwajima akauliza, Je Ningekua Mwalimu, au Mwanasheria, sitayari mngekua mmenidanganga na nmeondoka hapa???.
Unaweza jiuliza, hivi ni Tanzania tu? Inawezekana vipi Waziri wa Afya kua Mwalimu ?
Watu mtasema ,óhooo Waziri sio mtendaji, Kuna Katibu Mkuu Wizara
Kama Waziri sio Mtendaji kwanini Waziri wa Afya Mh Jenista Muhagama, Hivi karibuni alionekana akimsifia Naibu Waziri wake Dr Mollell, 'Namshukuru sana Dr Mollell, Naibu wangu kiukweli ananisaidia mambo mengi sana)
Katika Nchi ilojaa Wapigaji, watu wavivu na wazembe , Waziri ni rahisi kudanganywa na Naibu Waziri, au Katibu na Naibu karibu ikiwa interests zao zinatofautiana, hapo ndipo linakuja UMUHIMU WA TAALUMA KATIKA WIZARA HUSIKA.
Akawekwa Mtanga, akaishia kuvurundaa.
Sahizi yuko Jenista, ni kuvurundaa tu , Wizara inaonekana kuendeshwa na Dr Mollell .
Wizara ya Afya, katika Mataifa ya Watu wenye Akili , ni Moja ya Wizara nyeti inayotazamwa Kwa Jicho la karibu kama sehemu ya Usalama wa Taifa, ni Wizara ambayo viongozi wake hawatakuwi kuchaguliwa tu sababu ya Mapenzi, Utiifu , inahitaji MTU Bingwa, Bobezi ,Mzoefu wa Sekta ya Afya . Haiwezekani kua msimamizi wa kitu usichokijua, huwezi kutoa Matokeo Chanya !.
Mwisho unaweza wauliza wanasema Waziri sio mtendaji, Vipi Wizara ya Fedha, inaweza kukatiwa na MTU yoyote ?.
Hajachukua fom, ndoyo anasubili mbeleko katika zile nafasi 10?.Dr. Gwajima anajua
Dkt. Gwajima DDr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!.
Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi.
Kinachonimaliza zaidi juu ya Waziri Gwajima Dr, ni wepesi wake wa kuitikia ( Reaction), Anapata jambo saa Moja na nusu Asubuhi, Saa Mbili kafika Eneo la Tukio .Hawa ndio Viongozi Wanatakiwa sasa.
Watu wengi hawajui, Wakati Mh Gwajima, Dr , akiwa Waziri wa Afya, Kiutendaji, Kiuongozi Wizara ilitulia Kwa sababu ALIIJUA VILIVYO na hii ilipelekea Huduma ya Afya juu mpaka chini uliimarika , Huwa kuna ubora wa kutukuka Kiongozi alopewa Jukumu la Kusimamia Wizara au Taasisi Fulani kua na Taaluma inayoendana na Jukumu lake .
Hapa chini Field Marshall Dr Gwajima, alifanya Ziara yake huko Kanda ya ziwa , Aliwanyoosha Watumishi Janja Janja, wazembe na wavivu, ambao Kwa MAKUSUDI KABISA, WALIAMUA KUMDANGANYA BAADHI YÀ MAMBO KADHAA
Mwisho, Dr Gwajima akauliza, Je Ningekua Mwalimu, au Mwanasheria, sitayari mngekua mmenidanganga na nmeondoka hapa???.
Unaweza jiuliza, hivi ni Tanzania tu? Inawezekana vipi Waziri wa Afya kua Mwalimu ?
Watu mtasema ,óhooo Waziri sio mtendaji, Kuna Katibu Mkuu Wizara
Kama Waziri sio Mtendaji kwanini Waziri wa Afya Mh Jenista Muhagama, Hivi karibuni alionekana akimsifia Naibu Waziri wake Dr Mollell, 'Namshukuru sana Dr Mollell, Naibu wangu kiukweli ananisaidia mambo mengi sana)
Katika Nchi ilojaa Wapigaji, watu wavivu na wazembe , Waziri ni rahisi kudanganywa na Naibu Waziri, au Katibu na Naibu karibu ikiwa interests zao zinatofautiana, hapo ndipo linakuja UMUHIMU WA TAALUMA KATIKA WIZARA HUSIKA.
Akawekwa Mtanga, akaishia kuvurundaa.
Sahizi yuko Jenista, ni kuvurundaa tu , Wizara inaonekana kuendeshwa na Dr Mollell .
Wizara ya Afya, katika Mataifa ya Watu wenye Akili , ni Moja ya Wizara nyeti inayotazamwa Kwa Jicho la karibu kama sehemu ya Usalama wa Taifa, ni Wizara ambayo viongozi wake hawatakuwi kuchaguliwa tu sababu ya Mapenzi, Utiifu , inahitaji MTU Bingwa, Bobezi ,Mzoefu wa Sekta ya Afya . Haiwezekani kua msimamizi wa kitu usichokijua, huwezi kutoa Matokeo Chanya !.
Mwisho unaweza wauliza wanasema Waziri sio mtendaji, Vipi Wizara ya Fedha, inaweza kukatiwa na MTU yoyote ?.
Yupo kwenye Uzi wa Mwachiluwi
Usiandike sana utamharibia maana awamu hii sijui inataka watu wa aina gani very confusing, Ukwelill Gwajima ni JembeDr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!.
Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi.
Kinachonimaliza zaidi juu ya Waziri Gwajima Dr, ni wepesi wake wa kuitikia ( Reaction), Anapata jambo saa Moja na nusu Asubuhi, Saa Mbili kafika Eneo la Tukio .Hawa ndio Viongozi Wanatakiwa sasa.
Watu wengi hawajui, Wakati Mh Gwajima, Dr , akiwa Waziri wa Afya, Kiutendaji, Kiuongozi Wizara ilitulia Kwa sababu ALIIJUA VILIVYO na hii ilipelekea Huduma ya Afya juu mpaka chini uliimarika , Huwa kuna ubora wa kutukuka Kiongozi alopewa Jukumu la Kusimamia Wizara au Taasisi Fulani kua na Taaluma inayoendana na Jukumu lake .
Hapa chini Field Marshall Dr Gwajima, alifanya Ziara yake huko Kanda ya ziwa , Aliwanyoosha Watumishi Janja Janja, wazembe na wavivu, ambao Kwa MAKUSUDI KABISA, WALIAMUA KUMDANGANYA BAADHI YÀ MAMBO KADHAA
Mwisho, Dr Gwajima akauliza, Je Ningekua Mwalimu, au Mwanasheria, sitayari mngekua mmenidanganga na nmeondoka hapa???.
Unaweza jiuliza, hivi ni Tanzania tu? Inawezekana vipi Waziri wa Afya kua Mwalimu ?
Watu mtasema ,óhooo Waziri sio mtendaji, Kuna Katibu Mkuu Wizara
Kama Waziri sio Mtendaji kwanini Waziri wa Afya Mh Jenista Muhagama, Hivi karibuni alionekana akimsifia Naibu Waziri wake Dr Mollell, 'Namshukuru sana Dr Mollell, Naibu wangu kiukweli ananisaidia mambo mengi sana)
Katika Nchi ilojaa Wapigaji, watu wavivu na wazembe , Waziri ni rahisi kudanganywa na Naibu Waziri, au Katibu na Naibu karibu ikiwa interests zao zinatofautiana, hapo ndipo linakuja UMUHIMU WA TAALUMA KATIKA WIZARA HUSIKA.
Akawekwa Mtanga, akaishia kuvurundaa.
Sahizi yuko Jenista, ni kuvurundaa tu , Wizara inaonekana kuendeshwa na Dr Mollell .
Wizara ya Afya, katika Mataifa ya Watu wenye Akili , ni Moja ya Wizara nyeti inayotazamwa Kwa Jicho la karibu kama sehemu ya Usalama wa Taifa, ni Wizara ambayo viongozi wake hawatakuwi kuchaguliwa tu sababu ya Mapenzi, Utiifu , inahitaji MTU Bingwa, Bobezi ,Mzoefu wa Sekta ya Afya . Haiwezekani kua msimamizi wa kitu usichokijua, huwezi kutoa Matokeo Chanya !.
Mwisho unaweza wauliza wanasema Waziri sio mtendaji, Vipi Wizara ya Fedha, inaweza kukatiwa na MTU yoyote ?.
Nakubali, Naamini, hata hiki nlichoandika, kumpa Kongole Dr Gwajima, Kuna MTU Mahali alifeli Kidato Cha Nne, akisoma anaweza umia kwelikweli !!.Usiandike sana utamharibia maana awamu hii sijui inataka watu wa aina gani very confusing, Ukwelill Gwajima ni Jembe
Kweli kabisa!..😄Usiandike sana utamharibia maana awamu hii sijui inataka watu wa aina gani very confusing, Ukwelill Gwajima ni Jembe
hahaha uzi upi uhooYupo kwenye Uzi wa Mwachiluwi
Mkuu ukiwa na Akili , Uwezo wa kutoa kilicho kichwan kua Matendo, unajiamin, ukishajiamin utakua Mpenda Haki , hautakua na mawaaa Wala Ufisadi Ndani yako, yaan utakua MTU ulonyoooka, ukishanyooka ,utasimamia Haki , Utapenda Kila unapogusa Uache Alama Bora, Sasa hii itakufanya upendwe tu.Dkt. Gwajima D huyu ndio kiongozi ambae anatakiwa kwa 100%, imagine alivokua wizara ya afya ambayo ndio hata mbobezi nyanja gizo alifanya vizuri sana, akaletwa huku ustawi wa jamii napo.kabaruza , yuko vizuri sana, ana kalama ya uongozi ngazi zote, trna akija kua rais atakua bora kuliko wote
Ni kawaida sana hapa Duniani, Huwezi kukubalika na na watu wote.Sijawahi mkubali huyu mama,enzi Za JPM nilimwona kama mtu aliyerukwa akili