dr gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi apigwa mbele ya mtoto wake huku akirekodiwa, kisa kumuibia hela Mama (boss wake), kisha akafukuzwa

    Angalia ukatili dhidi ya wadada wa kazi. Tazama video hii ya mfanyakazi akipigwa fimbo na bosi wake akidai amemuibia hela, kisha kuamua kupiga mbele ya mwanae na mwisho wake akamfukuza nyumbani. Dkt. Gwajima D ingilia kati TAFADHALI. Chukua hatua haki itendeke
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa vyuo au dawati la ndoa na mahusiano, bure bila kusoma hakuna kuoana

    Kozi itolewe walau miezi mitatu kabla ya ndoa bila kufaulu hakuna kufunga ndoa, si lazima watu waende chuoni teknolojia imerahisisha. kama serikali haiwezi basi watu binafsi wapewe kibali kuanzisha vyuo hivyo, lengo ni kukabiliana na ongezeko la mauaji, kuumizana kisa mahusiano inaonesha watu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima na Joyce Ndalichako wamchanganya raia. Apewa za uso papo hapo

    Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli. Uzi tayari The Mongolian Savage BICHWA KOMWE - Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian litutumbwe Mufti kuku The Infinity
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe aliyekuwa Waziri wa Afya, Dr Gwajima akiwabana watumishi wazembe

    Dr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!. Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi. Kinachonimaliza zaidi...
Back
Top Bottom