Kuanzishwa vyuo au dawati la ndoa na mahusiano, bure bila kusoma hakuna kuoana

Kuanzishwa vyuo au dawati la ndoa na mahusiano, bure bila kusoma hakuna kuoana

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Kozi itolewe walau miezi mitatu kabla ya ndoa bila kufaulu hakuna kufunga ndoa, si lazima watu waende chuoni teknolojia imerahisisha.

kama serikali haiwezi basi watu binafsi wapewe kibali kuanzisha vyuo hivyo, lengo ni kukabiliana na ongezeko la mauaji, kuumizana kisa mahusiano inaonesha watu hawana elimu sahihi ya mahusiano watu hawajui namna ya kutatua changamoto zao za mahusiano matokeo yake nikuuana.
 
Matarajio.
Kuamini amini hovyo binadamu mwenzako.
Tumieni akili sio shule.
Mzigo haupo fixed, una chenji kulingana na unavyojipeleka kwake.

Anapigwa tukio mkufunzi anakujaza maelekezo, anaua na kujeruhi kama wengine.
 
Kwani vyeti vya shule viliwahi kuzuia watu kuwa wezi?

Mbona tuna wasomi kibao wenye madigrii lakini bado ni mafisadi?
 
Back
Top Bottom