Tujikumbushe askofu josephat Gwajima alivyo mdhihaki hayati Kadinali Polycarp Pengo enzi za uhai

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Miaka kadhaa iliyopita,

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, alitoa wito kwa makanisi mbalimbali ikiwa ni paomoja na kanisa katoliki kwa ujumla, kutokumuheshimu kadinali Polycarp Pengo kutokana na misimamo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi isiyoyumba.

Gwajima alidai Kadinali Pengo ni mpuuzi na msema hovyo, anawaaibisha wakristo na kwamba amekua kama mlevi na alievimbiwa sijui kala maharage ya wapi n.k. Na hii ilikua ni baada ya kadinali pengo kukana sahihi yake iliyowekwa bila idhini yake na katibu mkuu wa TEC kwenye waraka wa kwaresma wa TEC wa mwaka husika.

Hebu fuatilia dhihaka zaid za askofu gwajima dhidi ya kadinali Pengo ambae ni hayati kwa sasa.

Unadhani gwajima anajiskiaje akiona haya matusi na dhihaka zake leo kwa mzazi wake huyu wa kiroho?

View: https://youtu.be/fGwpPuTr5so?si=0UaAVyq7XQKQyDdC
 
Dhamira yako hasa ni nini?

We jamaa una vinasaba vya kishangingi. Sio ajabu hata maisha yako binafsi unaishi kwa udaku/umbea/ushambenga/unafiki.
ni kukukumbusha tu wadau wa JF dhidi ya dhihaka za gwajima kwa hayati Pengo,

umepanic gentleman?

umbea ndio kusema ukwelie gentleman?
 
Miaka kadhaa iliyopita,

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, alitoa wito kwa makanisi mbalimbali ikiwa ni paomoja na kanisa katoliki kwa ujumla, kutokumuheshimu kadinali Polycarp Pengo kutokana na misimamo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi isiyoyumba.

Gwajima alidai Kadinali Pengo ni mpuuzi na msema hovyo, anawaaibisha wakristo na kwamba amekua kama mlevi na alievimbiwa sijui kala maharage ya wapi n.k. Na hii ilikua ni baada ya kadinali pengo kukana sahihi yake iliyowekwa bila idhini yake na katibu mkuu wa TEC kwenye waraka wa kwaresma wa TEC wa mwaka husika.

Hebu fuatilia dhihaka zaid za askofu gwajima dhidi ya kadinali Pengo ambae ni hayati kwa sasa.

Unadhani gwajima anajiskiaje akiona haya matusi na dhihaka zake leo kwa mzazi wake huyu wa kiroho?

View: https://youtu.be/fGwpPuTr5so?si=0UaAVyq7XQKQyDdC

Pengo alizingua sana! Lakini ndo hivyo... Kila mtu ana madhaifu yake!
Hasta la victoria siempre
 
Miaka kadhaa iliyopita,

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, alitoa wito kwa makanisi mbalimbali ikiwa ni paomoja na kanisa katoliki kwa ujumla, kutokumuheshimu kadinali Polycarp Pengo kutokana na misimamo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi isiyoyumba.

Gwajima alidai Kadinali Pengo ni mpuuzi na msema hovyo, anawaaibisha wakristo na kwamba amekua kama mlevi na alievimbiwa sijui kala maharage ya wapi n.k. Na hii ilikua ni baada ya kadinali pengo kukana sahihi yake iliyowekwa bila idhini yake na katibu mkuu wa TEC kwenye waraka wa kwaresma wa TEC wa mwaka husika.

Hebu fuatilia dhihaka zaid za askofu gwajima dhidi ya kadinali Pengo ambae ni hayati kwa sasa.

Unadhani gwajima anajiskiaje akiona haya matusi na dhihaka zake leo kwa mzazi wake huyu wa kiroho?

View: https://youtu.be/fGwpPuTr5so?si=0UaAVyq7XQKQyDdC

Nionavyo mimi kwanza Cardinal Pengo hakuwa mkamilifu- kwenye maswala ya kudai katiba ya wananchi kuna namna alituangusha. Lakini unaposema kwamba Gwajima alidai Pengo kukana sahihi yake, sidhani kama ni kweli kwa sababu sahihi yake haingekuwepo kwenye waraka wa baraza la maaskofu kwa vile hakuwa rais au makamu au katibu wa baraza. Ila najua alijitenga na ule waraka, na nahisi ndiyo iliyopelekea kwa haraka askofu Ruwaichi kuteuliwa kuwa askofu mkuu mwandamizi wa Dar.
Pia kudai kwamba sahihi yake ilwekwa a katibu mkuu bila idhini yake, manake ni kumtuhumu katibu kugushi, jambo ambalo haliwezekani kamwe kufanywa na katibu mkuu awaye yeyote wa baraza.
 
ili kujua kama ni spirits,lazima uwe na upako wa uoni huo,kama hauna utadhani ni manjonjo!
Hukuona jinsi walinzi walivyo attention pale anakimbia huku anasema kama anaomba we we we we pale ni amepandisha!
P
Alikuwa ananena kwa lugha mpya kama ilivyonenwa na maandiko kwenye Marko 16:17.
 
kwamba gwajima kazeeka sana ama?
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Nionavyo mimi kwanza Cardinal Pengo hakuwa mkamilifu- kwenye maswala ya kudai katiba ya wananchi kuna namna alituangusha. Lakini unaposema kwamba Gwajima alidai Pengo kukana sahihi yake, sidhani kama ni kweli kwa sababu sahihi yake haingekuwepo kwenye waraka wa baraza la maaskofu kwa vile hakuwa rais au makamu au katibu wa baraza. Ila najua alijitenga na ule waraka, na nahisi ndiyo iliyopelekea kwa haraka askofu Ruwaichi kuteuliwa kuwa askofu mkuu mwandamizi wa Dar.
Pia kudai kwamba sahihi yake ilwekwa a katibu mkuu bila idhini yake, manake ni kumtuhumu katibu kugushi, jambo ambalo haliwezekani kamwe kufanywa na katibu mkuu awaye yeyote wa baraza.
katibu mkuu wa TEC ndie aliemuorodhesha hayati Pengo kwenye orodha ya maaskofu waliotoa waraka wa hovyo sana wakati ule,
ndio maana aliamua kujitokeza hadharani na kupinga nonsense zote zilizokua kwenye waraka ule.

Nadhani miongoni mwa waliofurahia kadinali Pengo kufariki ni pamoja na katibu mkuu wa TEC.

Hayati kadinali Pengo hakuwahi kuishi kwa kusemewa au kubebwa ufala wa kifikra na watu wa hovyo kama katibu mkuu wa TEC,
daima alisema anacho amini yeye mwenyewe bila chenga
 
Back
Top Bottom