Huyo pengo R.I.Pkwamba gwajima kazeeka sana ama?
ni kukukumbusha tu wadau wa JF dhidi ya dhihaka za gwajima kwa hayati Pengo,Dhamira yako hasa ni nini?
We jamaa una vinasaba vya kishangingi. Sio ajabu hata maisha yako binafsi unaishi kwa udaku/umbea/ushambenga/unafiki.
Aliomba msamaha na akasamehewa, ila anavyotukana na anavyo ongea, kwa sisi tulio jaaliwa jicho la tatu, jicho la ndani, tunamuona bayana kabisa he was possessed! Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya RaisUnadhani gwajima anajiskiaje akiona haya matusi na dhihaka zake leo kwa mzazi wake huyu wa kiroho?
View: https://youtu.be/fGwpPuTr5so?si=0UaAVyq7XQKQyDdC
Possessed na nini?..Aliomba msamaha na akasamehewa, ila anavyotukana na anavyo ongea, kwa sisi tulio jaaliwa jicho la tatu, jicho la ndani, tunamuona bayana kabisa he was possessed! Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
P
Spirits,Possessed na nini?..
Pengo alizingua sana! Lakini ndo hivyo... Kila mtu ana madhaifu yake!Miaka kadhaa iliyopita,
Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, alitoa wito kwa makanisi mbalimbali ikiwa ni paomoja na kanisa katoliki kwa ujumla, kutokumuheshimu kadinali Polycarp Pengo kutokana na misimamo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi isiyoyumba.
Gwajima alidai Kadinali Pengo ni mpuuzi na msema hovyo, anawaaibisha wakristo na kwamba amekua kama mlevi na alievimbiwa sijui kala maharage ya wapi n.k. Na hii ilikua ni baada ya kadinali pengo kukana sahihi yake iliyowekwa bila idhini yake na katibu mkuu wa TEC kwenye waraka wa kwaresma wa TEC wa mwaka husika.
Hebu fuatilia dhihaka zaid za askofu gwajima dhidi ya kadinali Pengo ambae ni hayati kwa sasa.
Unadhani gwajima anajiskiaje akiona haya matusi na dhihaka zake leo kwa mzazi wake huyu wa kiroho?
View: https://youtu.be/fGwpPuTr5so?si=0UaAVyq7XQKQyDdC
Nionavyo mimi kwanza Cardinal Pengo hakuwa mkamilifu- kwenye maswala ya kudai katiba ya wananchi kuna namna alituangusha. Lakini unaposema kwamba Gwajima alidai Pengo kukana sahihi yake, sidhani kama ni kweli kwa sababu sahihi yake haingekuwepo kwenye waraka wa baraza la maaskofu kwa vile hakuwa rais au makamu au katibu wa baraza. Ila najua alijitenga na ule waraka, na nahisi ndiyo iliyopelekea kwa haraka askofu Ruwaichi kuteuliwa kuwa askofu mkuu mwandamizi wa Dar.Miaka kadhaa iliyopita,
Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, alitoa wito kwa makanisi mbalimbali ikiwa ni paomoja na kanisa katoliki kwa ujumla, kutokumuheshimu kadinali Polycarp Pengo kutokana na misimamo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi isiyoyumba.
Gwajima alidai Kadinali Pengo ni mpuuzi na msema hovyo, anawaaibisha wakristo na kwamba amekua kama mlevi na alievimbiwa sijui kala maharage ya wapi n.k. Na hii ilikua ni baada ya kadinali pengo kukana sahihi yake iliyowekwa bila idhini yake na katibu mkuu wa TEC kwenye waraka wa kwaresma wa TEC wa mwaka husika.
Hebu fuatilia dhihaka zaid za askofu gwajima dhidi ya kadinali Pengo ambae ni hayati kwa sasa.
Unadhani gwajima anajiskiaje akiona haya matusi na dhihaka zake leo kwa mzazi wake huyu wa kiroho?
View: https://youtu.be/fGwpPuTr5so?si=0UaAVyq7XQKQyDdC
Hamna spirits ila ni manjonjo tu..Spirits,
Wewe kwakumwangalia alivyokuwa anakimbia, ulimuona is normal?
Yalikuwa yamepanda!
P
ili kujua kama ni spirits,lazima uwe na upako wa uoni huo,kama hauna utadhani ni manjonjo!Hamna spirits ila ni manjonjo tu..
Alikuwa ananena kwa lugha mpya kama ilivyonenwa na maandiko kwenye Marko 16:17.ili kujua kama ni spirits,lazima uwe na upako wa uoni huo,kama hauna utadhani ni manjonjo!
Hukuona jinsi walinzi walivyo attention pale anakimbia huku anasema kama anaomba we we we we pale ni amepandisha!
P
kwamba gwajima kazeeka sana ama?
katibu mkuu wa TEC ndie aliemuorodhesha hayati Pengo kwenye orodha ya maaskofu waliotoa waraka wa hovyo sana wakati ule,Nionavyo mimi kwanza Cardinal Pengo hakuwa mkamilifu- kwenye maswala ya kudai katiba ya wananchi kuna namna alituangusha. Lakini unaposema kwamba Gwajima alidai Pengo kukana sahihi yake, sidhani kama ni kweli kwa sababu sahihi yake haingekuwepo kwenye waraka wa baraza la maaskofu kwa vile hakuwa rais au makamu au katibu wa baraza. Ila najua alijitenga na ule waraka, na nahisi ndiyo iliyopelekea kwa haraka askofu Ruwaichi kuteuliwa kuwa askofu mkuu mwandamizi wa Dar.
Pia kudai kwamba sahihi yake ilwekwa a katibu mkuu bila idhini yake, manake ni kumtuhumu katibu kugushi, jambo ambalo haliwezekani kamwe kufanywa na katibu mkuu awaye yeyote wa baraza.
kwasababu hiyo,Aliomba msamaha na akasamehewa, ila anavyotukana na anavyo ongea, kwa sisi tulio jaaliwa jicho la tatu, jicho la ndani, tunamuona bayana kabisa he was possessed! Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
P