Tujikumbushe askofu josephat Gwajima alivyo mdhihaki hayati Kadinali Polycarp Pengo enzi za uhai

Pengo alizingua sana! Lakini ndo hivyo... Kila mtu ana madhaifu yake!
Hasta la victoria siempre
Hayati kadinali Pengo alizungumza kwa uwazi kile alichoamini,
hakuogopa kuchukiwa na wenye mitazamo tofauti na yake,

tabia zake kidogo zilifanana na za YESU
 
katibu mkuu wa TEC ndie aliemuorodhesha hayati Pengo kwenye orodha ya maaskofu waliotoa waraka wa hovyo sana wakati ule,
ndio maana aliamua kujitokeza hadharani na kupinga nonsense zote zilizokua kwenye waraka ule.
Wacha umbea na propaganda wee chawa.
Pengo (Rip) alizingua kwa kuwa alikuwa chawa wa ccm na alipingwa na wengi kwa sababu hiyo
 
Wacha umbea na propaganda wee chawa.
Pengo (Rip) alizingua kwa kuwa alikuwa chawa wa ccm na alipingwa na wengi kwa sababu hiyo
alipinga zile nonsense kwenye waraka kwasababu hakuwepo hata kwenye huo mkutano wenyewe wa TEC, lakini akaorotheshwa bila ridhaa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…