Tujikumbushe Baraza la Mawaziri 2005


Baraza lako hapa kwa asilimia 35 ni feki kabisa. Akina Andrew Chenge waliokuwa waziri wa Ujenzi hawapo, akina Mungai waziri wa Kilimo hayupo. Umechomeka wengi manaibu na kuwaita mawaziri kamili tena wengine katika wizara tofauti na walizokuwa nazo. Jf ni jukwaa la Great Thinkers, hivyo msituletee uchuro humu! Naomba moderators futeni takataka hii!
 
?
 
Kuna uongo mwingi sana humu. Juma Jamaldin Akukweti (RIP) alikuwa waziri ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge sio Viwanda na Biashara. Mwigulu hakuwemo. Membe Naibu, Waziri alikuwa Dr. Asha Mtengeti. Membe aliukwaa uwaziri baadaye.
 
Kipindi icho ndo kilikua kipindi cha hela sasa,bar zote za Sinza,Kino,Magomeni kuanzia asubuhi ni full house watu wanachamba koo kwa pombe.
 
Kwa Madelu kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…