Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
1. Mhe Kingunge Ngombale Mwiru-waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu na Bunge
2. John Joseph Pombe Magufuli-Waziri wa Mifugo na uvuvi.
3. Zakia Hamdani Meghji- waziri wa Fedha na Uchumi
3.Prof. Peter Msola- Waziri wa elimu ya juu sayansi na Teknolojia
4. Mhe. Anthony Dialo- waziri wa habari na utamaduni.
5. Nadhiri Mustafa Karamagi- waziri wa Nishati na Madini
6. Prof. Athumani Kapuya- waziri Maliasili na utalii
7 Dkt Hussein Ally Mwinyi- Waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga taifa
8.Prof. Mark James Mwandosya waziri wa mawasiliano na uchukuzi. Baadaye waziri asiyekuwa na wizara maalum
9.Jumaa Jumaldin Akukweti- waziri wa viwanda na biashara
10. Dkt Abeid Maua Daftari_ waziri wa jinsia watoto na wenye ulemavu
11. Lawrence Kego Masha- waziri wa Mambo ya ndani.
12.Shukuru Kawambwa- waziri wa Elimu na utamaduni
Bernard Membe- waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
13.Mizengo Peter Pinda- waziri sheria na katiba
14.Mwigulu Nchemba- waziri wa Ardhi
Kama ntakuwa nimesahau marekebisho ruhusa na sio mitusi
Baraza lako hapa kwa asilimia 35 ni feki kabisa. Akina Andrew Chenge waliokuwa waziri wa Ujenzi hawapo, akina Mungai waziri wa Kilimo hayupo. Umechomeka wengi manaibu na kuwaita mawaziri kamili tena wengine katika wizara tofauti na walizokuwa nazo. Jf ni jukwaa la Great Thinkers, hivyo msituletee uchuro humu! Naomba moderators futeni takataka hii!