Tujikumbushe Baraza la Mawaziri 2005

Tujikumbushe Baraza la Mawaziri 2005

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
1. Mhe Kingunge Ngombale Mwiru-waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu na Bunge
2. John Joseph Pombe Magufuli-Waziri wa Mifugo na uvuvi.
3. Zakia Hamdani Meghji- waziri wa Fedha na Uchumi
3. Prof. Peter Msola- Waziri wa elimu ya juu sayansi na Teknolojia
4. Mhe. Anthony Dialo- waziri wa habari na utamaduni.
5. Nadhiri Mustafa Karamagi- waziri wa Nishati na Madini
6. Prof. Athumani Kapuya- waziri Maliasili na utalii
7. Dkt Hussein Ally Mwinyi- Waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga taifa
8. Prof. Mark James Mwandosya waziri wa mawasiliano na uchukuzi. Baadaye waziri asiyekuwa na wizara maalum
9. Jumaa Jumaldin Akukweti- waziri wa viwanda na biashara
10. Dkt Abeid Maua Daftari_ waziri wa jinsia watoto na wenye ulemavu
11. Lawrence Kego Masha- waziri wa Mambo ya ndani.
12. Shukuru Kawambwa- waziri wa Elimu na utamaduni
13. Bernard Membe- waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
14. Mizengo Peter Pinda- waziri sheria na katiba
15. Mwigulu Nchemba- waziri wa Ardhi

Kama ntakuwa nimesahau marekebisho ruhusa na sio mitusi
 
1. Mhe Kingunge Ngombale Mwiru-waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu na Bunge
2. John Joseph Pombe Magufuli-Waziri wa Mifugo na uvuvi.
3. Zakia Hamdani Meghji- waziri wa Fedha na Uchumi
3.Prof. Peter Msola- Waziri wa elimu ya juu sayansi na Teknolojia
4. Mhe. Anthony Dialo- waziri wa habari na utamaduni.
5. Nadhiri Mustafa Karamagi- waziri wa Nishati na Madini
6. Prof. Athumani Kapuya- waziri Maliasili na utalii
7 Dkt Hussein Ally Mwinyi- Waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga taifa
8.Prof. Mark James Mwandosya waziri wa mawasiliano na uchukuzi. Baadaye waziri asiyekuwa na wizara maalum
9.Jumaa Jumaldin Akukweti- waziri wa viwanda na biashara
10. Dkt Abeid Maua Daftari_ waziri wa jinsia watoto na wenye ulemavu
11. Lawrence Kego Masha- waziri wa Mambo ya ndani.
12.Shukuru Kawambwa- waziri wa Elimu na utamaduni
Bernard Membe- waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
13.Mizengo Peter Pinda- waziri sheria na katiba
14.Mwigulu Nchemba- waziri wa Ardhi

Hapo kwa Mwigulu umetudanganya kabisa
 
Membe alikuwa naibu .
 
Halafu

halafu Mambo ya Nje alikuwa bibie Asha Rose Mwigiro
 
Elimu alikuwa Mama Margreth Sitta

Masha alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
 
Mbona Dokta Andrew Chenge hayupo jamani? Mtendeeni haki, mmpatie wizara fulani hapo. Huyo kumbukeni ni msomi wa Harvard Marekani! !!!!!!!!!!!!!!
 
1. Mhe Kingunge Ngombale Mwiru-waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu na Bunge
2. John Joseph Pombe Magufuli-Waziri wa Mifugo na uvuvi.
3. Zakia Hamdani Meghji- waziri wa Fedha na Uchumi
3.Prof. Peter Msola- Waziri wa elimu ya juu sayansi na Teknolojia
4. Mhe. Anthony Dialo- waziri wa habari na utamaduni.
5. Nadhiri Mustafa Karamagi- waziri wa Nishati na Madini
6. Prof. Athumani Kapuya- waziri Maliasili na utalii
7 Dkt Hussein Ally Mwinyi- Waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga taifa
8.Prof. Mark James Mwandosya waziri wa mawasiliano na uchukuzi. Baadaye waziri asiyekuwa na wizara maalum
9.Jumaa Jumaldin Akukweti- waziri wa viwanda na biashara
10. Dkt Abeid Maua Daftari_ waziri wa jinsia watoto na wenye ulemavu
11. Lawrence Kego Masha- waziri wa Mambo ya ndani.
12.Shukuru Kawambwa- waziri wa Elimu na utamaduni
Bernard Membe- waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
13.Mizengo Peter Pinda- waziri sheria na katiba
14.Mwigulu Nchemba- waziri wa Ardhi
Kama ntakuwa nimesahau marekebisho ruhusa na sio mitusi

Waziri wa Elimu alikuwa Magreth Sitta, pia mawaziri wengi hapa umetudanganya kwa sababu mwaka huo akina Mizengo Oinda walikuwa manaibu waziri!
 
Steven Masatu Wasira nasikia yeye alikuwa waziri hata before uhuru 1961 🙂

Acha uongo wewe, Wassira ameanza na ukuu wa mkoa wa Mara akiwa kijana wa miaka 26 miaka ya katikati ya 70. Angekuwa aliana uwaziri kabla ya uhuru si angekuwa na umri wa karibu miaka 90 sasa, maana baba wa taifa ambaye ni mkubwa sana kwake kiumri ana 100 sasa. Wassira sasa hivi ana miaka 76 kwa tasrifa yako na ni mdogo sana kwa akina Cleos Msuya ( 91), John Malecela ( 88), Pius Msekwa (87) na wengi tu ukiacha Mzee Mwinyi mwenye (97) sasa! Mnamkuza mtu ambaye bado kijana kuliko hata Amollo Odinga mwenye (77)?
 
Back
Top Bottom