Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakukaa sana , Bany kimoon, akamteua kua msaidizi wake.Ok kumbe waziri alikuwa Nani?
Alipewa miundo mbinu.Kweli sijui alikuwa wizara gani enzi hizo pia mzee Wasira
Asha Yuko wapi siku hiziHalafu
halafu Mambo ya Nje alikuwa bibie Asha Rose Mwigiro
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza
Yaap baadae ndipo akateuliwa na Ban ki Moon kuwa naibu katibu mkuu UM nafasi yake ikazibwa na B.K.MEMBEHalafu
halafu Mambo ya Nje alikuwa bibie Asha Rose Mwigiro
Umepotosha/kosea mnoooo1. Mhe Kingunge Ngombale Mwiru-waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu na Bunge
2. John Joseph Pombe Magufuli-Waziri wa Mifugo na uvuvi.
3. Zakia Hamdani Meghji- waziri wa Fedha na Uchumi
3. Prof. Peter Msola- Waziri wa elimu ya juu sayansi na Teknolojia
4. Mhe. Anthony Dialo- waziri wa habari na utamaduni.
5. Nadhiri Mustafa Karamagi- waziri wa Nishati na Madini
6. Prof. Athumani Kapuya- waziri Maliasili na utalii
7. Dkt Hussein Ally Mwinyi- Waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga taifa
8. Prof. Mark James Mwandosya waziri wa mawasiliano na uchukuzi. Baadaye waziri asiyekuwa na wizara maalum
9. Jumaa Jumaldin Akukweti- waziri wa viwanda na biashara
10. Dkt Abeid Maua Daftari_ waziri wa jinsia watoto na wenye ulemavu
11. Lawrence Kego Masha- waziri wa Mambo ya ndani.
12. Shukuru Kawambwa- waziri wa Elimu na utamaduni
13. Bernard Membe- waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
14. Mizengo Peter Pinda- waziri sheria na katiba
15. Mwigulu Nchemba- waziri wa Ardhi
Kama ntakuwa nimesahau marekebisho ruhusa na sio mitusi