Tujikumbushe Baraza la Mawaziri la kwanza Tanganyika

Tujikumbushe Baraza la Mawaziri la kwanza Tanganyika

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Baraza la Mawaziri 1963

Julius K. Nyerere 41 years old,
President of Republic of Tanganyika


Rashidi Mfaume Kawawa, 34 yrs
Vice-President

Sheikh Amri Abedi Kaluta, 39 yrs
Minister of Justice

Derek N. Maclean Bryceson, 40 yrs
Minister of Agriculture

Clement George Kahama, 34 yrs
Minister of Commerce

Oscar S. Kambona 35 yrs
Minister of External Affairs and Defense

Job Malecela Lusinde 32 yrs
Minister of Home Affairs

Amir H. Jamal, 41yrs Minister of Communication

Paul Bomani, 38 yrs Minister of Finance

Alhaj Tewa Said Tewa, 37 yrs
Minister of Lands

Jeremiah S. Kasambala 38 yrs
Minister of Co-operative and Community Development

Solomon N. Eliufoo 42 yrs
Minister of Education

Saidi Ali Maswanya 39 yrs
Minister of Health

Michael Kamaliza, 33 yrs
Minister of Labor

Austine K.E. Shaba, 38yrs
Minister of Local Government

Leo Nang’wanda Sijaona, 35 yrs
Minister of National Culture and Youth

Nsilo Swai, 38 yrs
Minister of Development Planning.

Kutoka Maktaba

Kwa hiyo Nchi hii imejengwa na Vijana waliokuwa na UZALENDO!!
 
Walikuwa vijana wa kimwili ila watu wazima kiakili, ila sasa kuna kundi kubwa la vijana wa kimwili ila ni watoto kiakili.
dahh jamaa simple kabisa.jpg
Mh.Salim_Ahmed_Salim.jpg
 
Vijana wa Sasa mnadanganywa na uchawa 😄😄TAHLISO Sasa unashangaa hivi hawa vijana ni lini watasimama wenyewe nilitegemea vijana wa nchi hii wasimamie maadili yaliyoharibiwa na wazee ,wao wanapenda vyama badala ya kupenda nchi ,kumbuka nchi ilikuwepo na itaendelea kuwepo vijana wa Tanzania wamefanywa chupi yaani inavuliwa na wazee inasikitisha sana ,akina heri james,sabaya zito kabwe hawana jipya Kwa nchi ,nasisitiza anayesemea nchi nitamuunga mkono ukisemea chama potea haraka ,yaani mtu anasema tuombe dua za kuleta mvua !wakati huohuo amekata miti ya huko selous yote
 
Ukisoma huu Uzi utagundua kuwa vijana wengi tumepigwa na vitu vizito kichwani.
Mtu ana 32 yrs anapewa uwaziri leo hii Mimi nina 35 napewa gate nimlinde kiongozi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu hiyo si kazi lkn?
 
Eti leo msomi mwenye degree anajua kuwa Songea na Moshi ni mikoa.
Very fu ki nee
Plus Sumbawanga mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Plus Sumbawanga mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa vijana wenzetu ni wapumbavu kupindukia.
Mmoja nilimkuta NIDA kwenye uhakiki wa taarifa za uraia. Yeye tarafa yake ndo anaisema wilaya.
Ni mtumishi wa umma mwenzetu, sijui yuko idara gani yule dada.
Eti nimetokea wilaya ya Lupembe mkoani Njombe.
 
Angalia safu hiyo ya mawaziri

Leo wazee waliokuwepo serikali ya 1970s bado wanajifanya wadogo wakati mda na akili zimewaacha mbali

Hawana cha kutuongezea kama Taifa
 
Hawa ndo walisababisha Tanzania iwe na wajinga wengi, maana hawakuweka miundombinu, hawakufikiria mbali zaidi ya hapo
Hawakupangilia miji ya wakati huo na miji ijayo
 
Walipewa uongozi na kuongoza kwa sababu ndio walikuwa / walionekana ni wasomi na watu wenye ushawishi wakati huo.

TAA, TANU na CCM waliaminisha historia isiyo sahihi kuwa wasomi ni wale tu waliokuwepo miaka ya 1950 wakati usomi Tanganyika umeanza tangu 1895

Page-105-pic-6-Hugh-Peter-Kayamba-Henry-Masibu2-179x300.jpg

Photo : Martin Kayamba’s father Hugh Peter Kayamba (left) and Henry Masibu (right). Photo courtesy of www.bloxhamschool.com


My father was born at Kilole Bondei, the seat of his father, about 1865. He was first a Mohammedan. My father joined the Universities Mission to Central Africa in 1877 and was educated at the U.M.C.A. Schools at Umba and Magila. He was sent to England in 1882 and was educated at Bloxham School, near Oxford. In 1885 he returned from England and became a teacher at St. Andrew’s College, U.M.C.A., Zanzibar. He married my mother, Faith Kalekabula, a teacher like himself, in 1890. My sister, Mary Elizabeth, was born on 23rd December, 1895. My father in 1892 was sent to the Bondei country to evangelize and was made a Reader.
READ MORE :
 
Edward A Chapa,
Historia inasema wenyeji kutoka mkoa wa Tanga ndiyo ambao wengi walifanya kazi serikalini na ktk mashirika ya serikali ya mkoloni kwa wingi kuliko wakaazi wa mikoa mingine.

Hii ndiyo sababu mikoa iliyokuwa nyuma kielimu wakakosa kuwa na mababu na mabibi wasomi walidhani hali hiyo ya kukosa mfumo wa elimu ilikuwa kote Tanganyika

Ukarani, ualimu, sekta ya afya, huduma za kilimo, mifugo n.k wazee wengi wa kutoka Tanga walikuwa wamejazana ktk ajira hizo kipindi cha mkoloni kutokana na 'usomi wao' pia shule nyingi tangu Mjerumani yupo kama mkoloni viligengwa maeneo ya mkoa wa Tanga.

Ukikaa ktk vibaraza utasakia story hizi ila wakaazi na wazee hawa hawana tabia ya kujikweza kuwa wao ndiyo wasomi wa mwanzo kabisa Tanganyika.


Source : John Mtembezi Inniss
Oswald Muhando babu wa Jimmy Fredie Mdoe alifundisha ktk shule hii ya Kiwada mkoani Tanga. Baba wa Jim Fred Mdoe alifundisha hapa Kiwada St Bartholomeo's college na pia mwandishi huyu mkongwe alisoma shule ya msingi hapa Kiwada miaka ya 1950's anasema mwandishi huyu alipotembelea shule hii maarufu yenye uhusiano na ukoo wake wote. Hakika Tanga ni mfano wa watu waliowahi kupata elimu mapema tangu enzi za Jeremani mkoloni. Hii ni mojawapo ya shule ambazo ni kongwe hapo shule kongwe za mjini Tanga bado hatujazizungumzia zilizojengwa 1887...
 
Walipewa uongozi na kuongoza kwa sababu ndio walikuwa / walionekana ni wasomi na watu wenye ushawishi wakati huo.

Usomi wa wakaazi wa Tanga ulianza tangu kitambo ila hawana "makeke"

Why then was Tanga chosen over the other coastal towns? Tanga was an educational centre, with a prestigious central school for boys, a legacy from the Germans. School Micropolitics on the Coast of Tanganyika, 1930s
We have for Tanga Girls’ School alternative sources that allow uncovering another history: namely archival papers collected in Tanzania National Archives reporting discussions around the school within the administration and two texts published by the “African”[3] civil servant Martin Kayamba.
By immediately sending their daughters to the school, these men proved that the local African elite, mainly Muslim, was already convinced of the virtues of schooling girls. According to Kayamba, this was partly due to their education in the German school of Tanga School Micropolitics on the Coast of Tanganyika, 1930s
In 1928, it reported demand for girls’ schools in the Muslim coastal towns. It observed that Muslim parents often sent their boys to missionary school when no government school was available but refused to do so for girls—though no explanation was given for this difference. In 1929 it mentioned, “a persistent demand, particularly from Tanga.”

the elites of Zanzibar cooperated with the British officials to open a government girls’ school in 1927 (Decker 2014)


The African Girls’ school was located on the outskirts of the colonial city. Since it was built much later than most colonial buildings, it might be that no other space was available. However, we also can assume that colonial authorities deliberately chose to establish the school close to the African living quarters, just as the Maternity clinic next to it. This location would thus be iconic of the colonial authorities’ will to bring the African women under its control.
TANGANYIKA, DEPARTMENT OF LANDS & SURVEYS et SURVEY DIVISION, « Atlas of Tanganyika, East Africa », 1956: 27.
Florence WENZEK, “The African Girls’ Government School in Tanga: Micropolitics on the Muslim Coast of Tanganyika in the 1930s

READ MORE : School Micropolitics on the Coast of Tanganyika, 1930s
 
Plus Sumbawanga mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Musoma na Bukoba pia halafu Marekani wanapaita Ulaya.
 
Back
Top Bottom