Tujikumbushe Baraza la Mawaziri la kwanza Tanganyika

Tujikumbushe Baraza la Mawaziri la kwanza Tanganyika

Baraza la Mawaziri 1963

Julius K. Nyerere 41 years old,
President of Republic of Tanganyika


Rashidi Mfaume Kawawa, 34 yrs
Vice-President

Sheikh Amri Abedi Kaluta, 39 yrs
Minister of Justice

Derek N. Maclean Bryceson, 40 yrs
Minister of Agriculture

Clement George Kahama, 34 yrs
Minister of Commerce

Oscar S. Kambona 35 yrs
Minister of External Affairs and Defense

Job Malecela Lusinde 32 yrs
Minister of Home Affairs

Amir H. Jamal, 41yrs Minister of Communication

Paul Bomani, 38 yrs Minister of Finance

Alhaj Tewa Said Tewa, 37 yrs
Minister of Lands

Jeremiah S. Kasambala 38 yrs
Minister of Co-operative and Community Development

Solomon N. Eliufoo 42 yrs
Minister of Education

Saidi Ali Maswanya 39 yrs
Minister of Health

Michael Kamaliza, 33 yrs
Minister of Labor

Austine K.E. Shaba, 38yrs
Minister of Local Government

Leo Nang’wanda Sijaona, 35 yrs
Minister of National Culture and Youth

Nsilo Swai, 38 yrs
Minister of Development Planning.

Kutoka Maktaba

Kwa hiyo Nchi hii imejengwa na Vijana waliokuwa na UZALENDO!!
wote walikuwa vijana wadogo, kweli kuna tofauti ya vizazi na vizazi, majuzi madogo walipewa madaraka kidogo tu wakalewa waakaanza kufanya mambo ya hovyo ya aibu kwa taifa.

Rest in peace legends.
 
Vijana wa Sasa mnadanganywa na uchawa [emoji1][emoji1]TAHLISO Sasa unashangaa hivi hawa vijana ni lini watasimama wenyewe nilitegemea vijana wa nchi hii wasimamie maadili yaliyoharibiwa na wazee ,wao wanapenda vyama badala ya kupenda nchi ,kumbuka nchi ilikuwepo na itaendelea kuwepo vijana wa Tanzania wamefanywa chupi yaani inavuliwa na wazee inasikitisha sana ,akina heri james,sabaya zito kabwe hawana jipya Kwa nchi ,nasisitiza anayesemea nchi nitamuunga mkono ukisemea chama potea haraka ,yaani mtu anasema tuombe dua za kuleta mvua !wakati huohuo amekata miti ya huko selous yote
Nini kosa la sabaya mkuu?
 
Hawa ndo walisababisha Tanzania iwe na wajinga wengi, maana hawakuweka miundombinu, hawakufikiria mbali zaidi ya hapo
Hawakupangilia miji ya wakati huo na miji ijayo
Wewe ndio wale wazee kifikra na vijana kimwili?,
 
Plus Sumbawanga mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jazia na bukoba shekhe
 
Back
Top Bottom