Tujikumbushe: Bifu la Yanga na TFF lilianzia hapa

Mwaka huu kolo hatoboi group stages
Hata mimi nilishawatabiria kitambo. Ingawa baadhi ya mashabiki wao walinitukana. Ila muda ni rafiki mwaminifu.

Simba ya msimu huu itaishia kwenye hii hatua ya makundi. Maana wachezaji wake wamejichokea kutokana na fatique pamoja na uzee. Huwezi kabisa kuwalinganisha na wachezaji wa Yanga.
 
Tatizo hawataki ukweli [emoji23]
 
Back
Top Bottom