figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
define the lever. umesahau? basi fungua hapa. mia
duh! kweli aisee..math ni noumer. mimi yale mambo ya log ndo yalintoa relini. hesabu za log hazinisaidii chochote katika maisha yangu. sijui hata kwanini wanafundisha. miaNimesahau, mi nikikumbuka mambo za circles and sphere,trigonometric ratios na vyote vilivyomo humo yani hadi simulteneosly equation ulikuwa mtihani kwangu,huwa nahisi kukosa raha maana kwanza nlikuwa nikimuona mwalimu wa maths akili inasimama nakosa raha kabisa hadi natamani kuchomokea dirishani
define the lever. umesahau? basi fungua hapa. mia
kitu addition mathematics in general
duh! kweli aisee..math ni noumer. mimi yale mambo ya log ndo yalintoa relini. hesabu za log hazinisaidii chochote katika maisha yangu. sijui hata kwanini wanafundisha. mia
Unajua hesabu kama za logarithim,function,making the subject of the formula na factorization zilikuwa zinasaidia zaidi katika kukufikirisha sana sana.Ingawaje hazina application sana katika maisha.They make you think sharply actually.duh! kweli aisee..math ni noumer. mimi yale mambo ya log ndo yalintoa relini. hesabu za log hazinisaidii chochote katika maisha yangu. sijui hata kwanini wanafundisha. mia
Yaaani hapo ndo zilikuwa hesabu zangu.Nimekumbuka mbali sana kitabu kimoja kinaitwa KINUNDA..
its own weightlaw of floatation "afloating board displaces the weight of the fluid in which it float"
Hebu acha ujinga. Ningependaje hisabati wakati mwalimu wangu anajua tu kuwa mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona na hajui giza ni nini?