tujikumbushe darasani. wewe unakumbuka nini?

tujikumbushe darasani. wewe unakumbuka nini?

define the lever. umesahau? basi fungua hapa. mia

Nimesahau, mi nikikumbuka mambo za circles and sphere,trigonometric ratios na vyote vilivyomo humo yani hadi simulteneosly equation ulikuwa mtihani kwangu,huwa nahisi kukosa raha maana kwanza nlikuwa nikimuona mwalimu wa maths akili inasimama nakosa raha kabisa hadi natamani kuchomokea dirishani
 
duh! kweli aisee..math ni noumer. mimi yale mambo ya log ndo yalintoa relini. hesabu za log hazinisaidii chochote katika maisha yangu. sijui hata kwanini wanafundisha. mia
 
kitu addition mathematics in general
 
define the lever. umesahau? basi fungua hapa. mia
img1.gif

Yaaani hapo ndo zilikuwa hesabu zangu.Nimekumbuka mbali sana kitabu kimoja kinaitwa KINUNDA..
 
duh! kweli aisee..math ni noumer. mimi yale mambo ya log ndo yalintoa relini. hesabu za log hazinisaidii chochote katika maisha yangu. sijui hata kwanini wanafundisha. mia

zina application kubwa tu katika business analysis...
Hakuna kinachofundishwa bure,,,
 
Ph SCALE IS THE NEGATIVE LOGARITHM OF HYDROGEN ION AQUEOS IN A GIVEN SOLUTION OR IS THE DEGREE OF ACIDITY AND ALKALINITY
 
duh! kweli aisee..math ni noumer. mimi yale mambo ya log ndo yalintoa relini. hesabu za log hazinisaidii chochote katika maisha yangu. sijui hata kwanini wanafundisha. mia
Unajua hesabu kama za logarithim,function,making the subject of the formula na factorization zilikuwa zinasaidia zaidi katika kukufikirisha sana sana.Ingawaje hazina application sana katika maisha.They make you think sharply actually.
 
mie nakumbuka sana female and male reproductive system mwalimu alivyokuwa anachora.Kwali mwalimu muhimu ktk jamii.
 
Mi nakumbuka Archimedes Principl yani mwalimu wetu akiitamka mi hoi... Hata arudie vipi sielewi!
 
law of floatation "afloating board displaces the weight of the fluid in which it float"
 
Mimi nilichukia sana history! Yaani yale mambo ya monomotapa sijui lozi kingdom........mwalimu anavyotoa mapovu kufundisha ni kama vile alikuwepo na yeye wakati huo, haikuwa ajabu mimi maksi za juu kupata zilikuwa 35%! Nilikuwa nalichukia sana somo hilo! Ila book keeping, chemistry, biology, mathematics, physics, enzi za "O" level, niliyapenda sana!
 
Pascal principal of pressure transmission in fluid states " when pressure is applied at any point contained in a closed vesel the pressure is transmited undaminished and to the walls of the containing vessel"
 
Back
Top Bottom