Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kabla ya zama hizi za smart phone kufika, kampuni ya Nokia ilitamba sana sokoni na simu zake pendwa zilizokuwa bora na imara mno. Toka enzi simu za Nokia zinatumia Infared mpk bluetooth.
Simu gani ya Nokia uliikubali sana zama hizo?
Mimi mpaka kesho niliikubali sana Nokia 6230. Hii simu ilikuwa baab kubwa sana those days!
Karibuni...
Simu gani ya Nokia uliikubali sana zama hizo?
Mimi mpaka kesho niliikubali sana Nokia 6230. Hii simu ilikuwa baab kubwa sana those days!
Karibuni...