Tujikumbushe enzi za simu za Nokia zikitamba!

Tujikumbushe enzi za simu za Nokia zikitamba!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kabla ya zama hizi za smart phone kufika, kampuni ya Nokia ilitamba sana sokoni na simu zake pendwa zilizokuwa bora na imara mno. Toka enzi simu za Nokia zinatumia Infared mpk bluetooth.
Simu gani ya Nokia uliikubali sana zama hizo?

Mimi mpaka kesho niliikubali sana Nokia 6230. Hii simu ilikuwa baab kubwa sana those days!

Karibuni...
 
Hii hapa[emoji116]
689cb278103edbffe3c3d0bd40deb09b.jpg
 
Nakumbuka nimetumia sana hizo simu koz nimeziuza sana. Mtaa mzima kijana au mzee ukitaka simu lazima unione kipindi hiko wlkununua dukani ilikuwa wachache sana sio kaka leo
 
Naandika hii comment kwa kutumia nokie E6, sijawah kutumia simu yoyote ya batan tofaut na nokia tangu nianze kushika simu na 90% ya simu nilizotumia ni nokia.
 
Back
Top Bottom