Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,045
- 1,468
Mkuu namuheshim sana juma nature lakini ukweli lazima usemwe SIR NATURE ni kweli alitingisha kipindi kile, lakini amin nakuambia apajawahi tokea msanii hapa tanzania akafikia ukubwa wa DIAMOND na kutawala game kwa muda mrefu na unapo taja wasanii A LIST AFRICA uwezi muacha diamondHapa unamkosea Juma nature ..huwezi kufananisha zama hizi ambazo sisi mashabiki ndo tunatafuta mziki na zama za nature ambazo mziki ndo ulikuwa unatafuta mashabiki.