Mkuu namuheshim sana juma nature lakini ukweli lazima usemwe SIR NATURE ni kweli alitingisha kipindi kile, lakini amin nakuambia apajawahi tokea msanii hapa tanzania akafikia ukubwa wa DIAMOND na kutawala game kwa muda mrefu na unapo taja wasanii A LIST AFRICA uwezi muacha diamondHapa unamkosea Juma nature ..huwezi kufananisha zama hizi ambazo sisi mashabiki ndo tunatafuta mziki na zama za nature ambazo mziki ndo ulikuwa unatafuta mashabiki.
Mwanzo niliandika KR nikajistukia nikahisi nimekosea kumbe nilikuwa sahihi, nimerekebishanakumbuka ilikuwa Nature na KR sio Dolo...
Ni kweli, MR Nice alifanikiwa kutingisha sema alilast within 3 yrs, baada ya hapo akatoka kabisa kwenye ramaniMkuu namuheshim sana juma nature lakini ukweli lazima usemwe SIR NATURE ni kweli alitingisha kipindi kile, lakini amin nakuambia apajawahi tokea msanii hapa tanzania akafikia ukubwa wa DIAMOND na kutawala game kwa muda mrefu na unapo taja wasanii A LIST AFRICA uwezi muacha diamond
MR nice nae sijui alibugi wapi aiseeNi kweli, MR Nice alifanikiwa kutingisha sema alilast within 3 yrs, baada ya hapo akatoka kabisa kwenye ramani
Ndicho nilichosema hapo juu kwamba; hata kama kimtaa kimtaa tulimtegemea Nature lakini binafsi nilijua mbele ya Darubini Kali tusingechomoka... na kweli hatukuchomoka!Hata Nature asingetoboa, kumbuka Mkali wa Rhymes walikuwa wanaangalia sana kigezo cha uzito wa mashairi na sio performance tu jukwaani. Nature na Inspekta hicho kigezo hawana
unazungumzia GADO wakati kuna NGANGARI ishatoka kitambo kabla.
Jose mtambo kaanza kabra ya wote uliowataja apo.
Mkuu umesahau dhana ya kupokeza kijiti....Hauwezi ukashine milele mkuu lazima upishe young bloodz/Vipaji vipya.MR nice nae sijui alibugi wapi aisee
Mkuu umesahau dhana ya kupokeza kijiti....Hauwezi ukashine milele mkuu lazima upishe young bloodz/Vipaji vipya.
huyu Luteni...Hili daluga kichugachuga unenge zari masabe take care machizi wanatambaa na boda, zamani sana ila alisalimu amri kwa kiroboto
Game inakupoteza bila kupenda sio kama hautaki kutoa kazi.inspector now anafanya show za buku 2000 mwanza haaaaa....."Mtoto babandi colored uso soft usio chunusi natural color chotara mng'avu ng'avu maji ya kunde kaenda hewani sekunde kwao obay oysterbay masaki usafiri wa kifahari,kila akitaka gari anachange korando Rolls royce range mara Mercedes Benz makila kitu kwao stock beef cow kiti moto pork kwenye friji friza vimiminika vya kumwagililu mpaka kusaza weeeeee"Kweli mkuu lakini si kwa kupotea kule aisee
Game inakupoteza bila kupenda sio kama hautaki kutoa kazi.inspector now anafanya show za buku 2000 mwanza haaaaa....."Mtoto babandi colored uso soft usio chunusi natural color chotara mng'avu ng'avu maji ya kunde kaenda hewani sekunde kwao obay oysterbay masaki usafiri wa kifahari,kila akitaka gari anachange korando royce royce range makila kitu kwao stock beef cow kiti moto pork kwenye friji friza vimiminika vya kumwagililu mpaka kusaza weeeeee"
kibla tumeachana nae punde,Hapana sidhani kama alikua juu zaidi ya Sir Nature, nijuavyo walikua wanashindana na kupigana vijembe mpaka aliposalimu amri na kufanya collabo ya Mzee wa Busara remix.
Jamani i miss Mzee wa Kibla, where is he?