Nakumbuka miaka hiyo simu za nokia tochi zimeingia,nilikuwa napenda lile gemu la nyoka hasa pale umemeza vitufe vidogo halafu linaletwa lile kubwa basi unampigisha nyoka wako rivasi ya hatari ili kuwahi ule mzigo mkubwa wenye point nyingi ie nyoka anakaribia kumeza jitufe linapotea basi unakasirika utadhani umetuma hela kimakosa.....
%by Sir Khan.born 2 win