tujikumbushe gemu la nyoka

tujikumbushe gemu la nyoka

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
5,730
Reaction score
11,576
Nakumbuka miaka hiyo simu za nokia tochi zimeingia,nilikuwa napenda lile gemu la nyoka hasa pale umemeza vitufe vidogo halafu linaletwa lile kubwa basi unampigisha nyoka wako rivasi ya hatari ili kuwahi ule mzigo mkubwa wenye point nyingi ie nyoka anakaribia kumeza jitufe linapotea basi unakasirika utadhani umetuma hela kimakosa.....
%by Sir Khan.born 2 win
 
Last edited:
me nlkuwa najaza screen mzima hapo harefuki tena ila point zinaendelea mbele
 
Back
Top Bottom